maringeni
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 3,198
- 3,894
Nadhani wengi tumeshuhudia au kusikia watu wakipewa degree za heshma. Pia tumewaangalia au kuwasikia waliopewa hizo PhD za heshima bila kuona usomi wowote.
Hili limenisukuma kuuliza mamlaka zinazosimamia vyuo vikuu ni kwanini hizi degree za heshma nazo zisiratibiwe kama zilivyo degree zote?
Chuo husika kiombe kwenye mamlaka husika na vigezo viwekwe na vbizingatiwe. Hii ikiwa ni pamoja na kuweka zuio la uwezekano wa kununuliwa, kutumiwa kisiasa. Mfano kumpa kiongozi aliyeko madarakani au mfanyabiashara mkubwa.
Mpewa asipoiishi hiyo degree anyang'anywe. Wapo wenye hizo PhD lakini ni mediocre kabisa.
Kigezo kimojawapo awe japo na Masters.
Hili la kubadika PhD penye Diploma naona ni mahoka.
Wadau mnasemaje?