Ni wapi naweza kujua Kiingereza cha kuongea?

ISENUKA

Member
May 25, 2014
81
10
wadau ninaomba msaada kuelekezwa sehemu sahihi nitakayojifunza kiingereza chakuongea tuu, ndani ya mwezi mmoja niwenaongea vizuri kiingereza bila shida, yawe ni maeneo ya ARUSHA MJINI
 
Ok,your wants to speaking english language well like me?,call I,I can taught you english good, for two moons you will able to spoke well english like man from to USA.In box me please.
 
hivi uko serious?....i think you must be making funy....
 
Kiingereza ni lugha kama zilivyo lugha zingine unaweza kujifunza kwa kuongea na watu wengine.
 
Kuna watu wanasema wanafundisha kingereza baada ya mwez utaweza ongea kiingereza kama KILUGHA chako...nashindwaga kuwaelewa....utawezaje kuongea kingereza kama kilugha chako...nalisikiaga hili tangazo clouds fm
 
Si basi tu na wao wapate hela wajulikane
 
Back
Top Bottom