mr wilehard
Member
- Jun 29, 2015
- 49
- 23
je unahisi kuna uwiano wowote kati ya kombi za sayansi kama PCM,PCB NA PGM
na zile arts kama HKL, HGK, HGE.
Kwa wale mliopitia huku je kuna uwiano hata ukiangalia vitabu vinavyotumika.. mwisho wa siku unasikia kuna A chache sana za physics na saa nyingine hata pungufu ya kumi.