Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
Naomba kujuzwa Umoja wa Wanafunzi wa Kikristo Tanzania:
a)Ulianza Lini?
b)Katiba Ikoje?na Kama Ipo Naomba Niipate
c)Malengo na Nia Yake?
d)Kuna Mtu Ameniambia Kuwa Mchungaji Alishawahi Kuandika Kitabu Kuhusu UKWATA,Mchungaji George P Fupe,Kuna Mtu Anaweza Nisaidia Kukipata?
Mods:Samahani,naomba Ule Uzi Niliounzisha Kule Jukwaa La Habari na Hoja Mchanganyiko Muiunganishe na Uzi Huu na Kisha Muulete Uku Jukwaa la Elimu Nipate Msaada Zaidi,Maana Kule Jukwaa La Habari na Hoja Mchanganyiko Sijapata Msaada Wowote!