Bodi ya mikopo kwa walio appeal

Kijaketi

Member
Aug 11, 2015
59
7
Habari wana jamiiforum Naomba kuuliza hivi kwa walio appeal mikopo hadi leo zaidi ya miezi mitatu hamna feedback yoyote hadi sasahivi semester inaisha au ndio wameshawapotezea
 
wanajamiiforum Naomba kuuliza hivi wanawalio appeal mikjamiiforumopo mwakiimepitiinaisha zaidi ya miezi mitatu hamna feedback yoyote hadi sasahivi semester inaisha au ndio wameshawapotezea
Mkuu hujaandika post yako kisomi ebu fuatilia vzr hujaeleweka kbs bora hujataja na chuo unachosoma
 
Back
Top Bottom