kolongotitu
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 214
- 144
wadau kuna tabia imezuka walimu wengi kwenda kuchukua mikopo katika taasisi mbali kwa kasi kwa kuhofia kufukuzwa kazi katokana na utumbuaji wa majipu unaoendelea na mgufuli/je wapo sahihi kwamba ukichukua mkopo huwezi fukuzwa kazi