Nimemaliza foundation course, je nitaruhusiwa kujiunga na degree?

siraji ahmada

Member
Aug 3, 2016
37
3
Samahani Wana jf naomba mnisaidie ktu kimoja. Mimi nimemaliza foundation course mwez wa sita open university mwaka huu.

Je TCU watanikubalia kuchukua degree?
 
Unaweza fanya shahada ya kwanza,nenda OUT kaongee nao watakupa maelezo mazuri,huo mfumo wameruhusiwa kuutumia na serikali yenyewe.
 
Sawa ndo nko mbali na chuo huwa naenda kufanya mitihan tu so nsaidie kujua km course hyo I me ruhusiwa kwa open university kuendelea na degree
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom