Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nacte yavifutia vyuo 5 nchini, 41 vyafungiwa kuendesha mafunzo Na 175 vapewa notisi ya kushushiwa hadhi...orodha ya vyuo vitano vilivyofutiwa usahili Na NACTE viko hapo kwenye picha. Source ITV...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu msaada wenu...anayefahamu sifa zinazomwezesha mtu kusoma basic certificate ya journalism kwenye chuo cha DSJ tafadhali anijulishe hapa..
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wanabodi, Nimejaribu kuangalia namna malipo ya michango inayotakiwa kulipwa katika shule mbalimbali za serikali kwa upande wa ''advance level'' kama ilivyowekwa katika website ya wizara husika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ebu tusaidiane hv kati ya mwalimu wa sayansi sekondari na engeeneer nani ana fursa nyingi za kumake mkwanja nje ya mshahara.
2 Reactions
70 Replies
12K Views
Hello! Naomba msaada wa taratibu zote za kufwata wakati umepoteza cheti cha form4 hadi uweze kukipata cheti kingine. Asante sana.
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Samahani jamani mdogo wangu kachaguliwa chuo hicho kusoma certificate ya journalism. Naomba kwa anayekifaham hicho chuo anisaidie kujua. Kipo Morogoro sehem gani? Naomba nisaidiwe mawasiliano yao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna kijana mmoja kafaulu kidato cha nne 2015,lakini hajapata post ya kwenda kidato cha tano wala chuo cha ufundi ...... Yupo streesed anajiulza afanyaje.... Anayejua plz...tusaidiane ktk hili...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hey friends, Kuna ndugu yangu nlikuwa namfanyia application kwa tcu, wakat nafanya adding ya re-sit kwa form 4, naletewa error inasema redundancy error, kama Kuna mtu ashaipata hii error, na how...
0 Reactions
2 Replies
977 Views
6:4:2:3+ UFANYIWE MAREKEBISHO HAYA YA MSINGI KUNUSURU ELIMU YETU. NA ALLY RAMA. Naandika maoni Haya nikiwa na imani kubwa kuwa itawafikia walengwa na maoni yangu yatachukuliwa kwa uzito Mkubwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale wanaopenda kusoma nje ya nchi kuna fursa kwenye hizo link hapo chini. Changamkieni wakuu http://www.tcu.go.tz/images/documents/FURSA_ZA_MASOMO_CANADA.pdf...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ni mahususi kwa wale wote waliochaguliwa na butimba pamoja na yeyote mwenye chochote kuhusu chuo hicho. nawakarbsha wote
0 Reactions
10 Replies
5K Views
..watanzania hasa wale wa hali za chini tulishukuru kukuwa kwa sekta ya elimu hasa katika ngazi ya vyuo vikuu, ongezeko la vyuo binafsi lilipunguza idadi ya wanafunzi wenye sifa za kuendelea na...
3 Reactions
14 Replies
5K Views
hivi kama mtu ana d phy, e chem,e bios,e bam, e gs. form six 2016, mbona ndalichako anabana , hatima ya hizi three ni nini wadau[emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Hizi ni tetesi, kama tetesi zinaweza kuaminika basi ziaminike. Kwanza, TCU hawaja release mwongozo wa Equivalents kwa kuwa GPA ya 3.5 inagomba. Hii ni kwa sababu regulation ya GPA haipo standard...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Naombeni mwenye joining instruction ya mwaka jana ya chuo cha ualimu tukuyu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna mtu aliapply mwaka jana akapata chuo lakn kwa kuw ni inservice hakupata ruhusa. Mwaka huu ameenda kuchukua barua akaiambatanisha na maombi ya kufanya udahili upya lakn mpaka saiv akichek...
0 Reactions
0 Replies
666 Views
Jaman nimeambiwa link imefungwa sielewii
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari,,Hivi Kwa Mwanafunzi Aliekosea Kujaza Chuo (FORM YA TCU)Kwa Sababu Mbali Kama Vile Aliweka Taarifa Tofauti Mf.Namba Ya Kumaliza Kidato Cha 6 Je Ni Hatua Gani anaweza Kuchukua??Je anaweza...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Kama inavyojiekeza katika kichwa cha habari wadau, naombeni kujuzwa juu ya ada za shule za serikali za advanced Na kama michango mingine inaruhusiwa, kuhusu o-level nafahamu ada na michango...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nimeulizwa hapa nimekosa jibu. Wakati wa kulipia NACTE naona namba moja ni NACTE namba tano ni NACTE CAS,,Analipia ipi maana mdogo wangu ana mchecheto hapa.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom