Wapi naweza kupata database ya shule zote Tanzania?

Prime Dynamics

JF-Expert Member
Dec 30, 2010
551
250
Nawasalimu wanajamvi,

Naomba mwenye ufahamu wapi naweza kupata database ya shule (msingi na secondary) zote Tanzania anijuze.

Nashukuru.
 

cerengeti

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,876
2,000
Databases ya shule zote nchini inapatikana. Natafute 0655308308, email :wigotz@gmail.com
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom