Kulipia TCU kwa alie maliza form six mwaka huu

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,537
1,752
Ana vyeti 2 vya form iv, manake alirudia bahadhi ya masomo ili kupata credits. Kwa sasa akitaka kulipia ile 50000 ya tcu anatumia namba ipi tafadhali. Napiga simu sana tcu ila iko bize saaana.
 
TCU unanunua vocha bla index number ya mthn.
Kanakwamba iyo voucher inaeza tumiwa na mtu yeyote yule.
Ila utakapo apply chuo ndo utaingiza namba za mthn online.
 
Ana vyeti 2 vya form iv, manake alirudia bahadhi ya masomo ili kupata credits. Kwa sasa akitaka kulipia ile 50000 ya tcu anatumia namba ipi tafadhali. Napiga simu sana tcu ila iko bize saaana.
Ukinunua voucher unaweza uka2 mia ata namba yko ya mwnzo ya mtihan km account no. Yko km kule kwenye loans S1215/0020/2012 then no ya mtihan ya mwnzo km iyo unaitia kwenye application na iyo ya pil pia ina sehem yake ya kujaza iyo no. Km hujaingiza no. Zko zoye za f4 na f4 kutimiza credits huez kuletewa ujumbe unaoanza na neno congratulations
 
nataka nikusahihishe kidogo ilo neno congratulations huwezi kupata kama umejaza namba za form 4 peke yake mpaka umalize na za form six ndo unapata sawa
 
Yes that right utimize credit za form four kwenda five pia utimize point zako nne Two principal pass ndo unakuja ujumbe wa congratulations
 
Samahani nataka niulize kuna rafiki yangu ametengeneza account Tcu na matokeo yake amepata DEE vp anaweza akapata chuo?
 
Kama ametahiniwa 2016 kwa uelewa wangu na kwa mujibu wa TCU admission qualification nackitika kukwambia kwamba hana cfa ya kuanza degree
 
Samahani nataka niulize kuna rafiki yangu ametengeneza account Tcu na matokeo yake amepata DEE vp anaweza akapata chuo?
Anapata maaana system ikishakubali imekubali.
This might means that wenye DEE wanaaply.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom