Msaada kuhusu Mathematics

Msaada kuhusu Mathematics

Matanzia kizebazeba

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
654
Reaction score
630
Habari ndugu Watanzania!

Mimi ni kijana Nina umri Wa miaka 25 nimemalza degree business administration BBA(accounting major) lakn advance nilisoma PCM na katika somo nilipendalo hesabu nilifanya vyema kama ilivokua huko mwanzo nilikuwa nkifUlu vizuri tuu hesabu.

Napenda sana kusoma na kufundisha hesabu nimejarbu kupitia katika vyuo vyetu lakini hakuna postgraduate diploma in mathematics or anything related na Mimi nataka kusoma postgraduate studies majoring in mathematics.

Nilienda udom nkambiwa kuna masters na kwa Mimi niliesoma BBA siwez kuna admitted udsm kuna masters ya Masterz ya mathematics modelling na masters in mathematics lakini kwa degree yangu ya kwanza ya BBA hawakubali admission kwangu.

Naomba ushauri wenu nifanyeje niweze kua mtaalamu Wa hesabu kufundisha.

Matokeo yangu katika somo la hesabu;
University studies ; A & B+
Advance: pcm I scored D
O-level : A

Napenda sana somo hili kufundisha na kuwaelimisha wenzangu hasa kuwa mtaalamu Wa hesabu.

au kuwa mwalimu wa "mapindi" a.k.a tuition. naamini kama nia yako ni ya dhati,basi utawasaidia vijana wengi.
 
Cjakuelewa tatizo umekosa ajira au anataka masters ya hesabu,kama shida ni ajira kasome diploma ya ualimu ili uendelee kuitumikia hesabu

Mkuu inaonesha ni jinsi gani ni mvivu kufikiri!!!
Pia uwezo wako Wa Elimu tukautathimini.
Sijakwambia natafuta ajira na katika uzi Wangu hakuna hyo sentensi hapa nataka kuongea na intellectuals mabig results kaeni pembeni usikurupuke kuchangia changia judge yourself before...
 
Cjakuelewa tatizo umekosa ajira au anataka masters ya hesabu,kama shida ni ajira kasome diploma ya ualimu ili uendelee kuitumikia hesabu

Nataka kusoma masters of science in mathematics lakini sifa sina kwakua undergraduate sikusoma Bsc hvo nauliza wadau njia gani nipite manake nimejarbu tafuta postgraduate diploma in mathematics naona bongo kama hakuna ivo kama kuna wadau wenye kufahamu ilipo washushe mawazo ..
 
Soma postgraduate diploma in education utachagua masomo mawili ya kufundishia ikiwemo hiyo hesabu.
 
Habari ndugu Watanzania!

Mimi ni kijana Nina umri Wa miaka 25 nimemalza degree business administration BBA(accounting major) lakn advance nilisoma PCM na katika somo nilipendalo hesabu nilifanya vyema kama ilivokua huko mwanzo nilikuwa nkifUlu vizuri tuu hesabu.

Napenda sana kusoma na kufundisha hesabu nimejarbu kupitia katika vyuo vyetu lakini hakuna postgraduate diploma in mathematics or anything related na Mimi nataka kusoma postgraduate studies majoring in mathematics.

Nilienda udom nkambiwa kuna masters na kwa Mimi niliesoma BBA siwez kuna admitted udsm kuna masters ya Masterz ya mathematics modelling na masters in mathematics lakini kwa degree yangu ya kwanza ya BBA hawakubali admission kwangu.

Naomba ushauri wenu nifanyeje niweze kua mtaalamu Wa hesabu kufundisha.

Matokeo yangu katika somo la hesabu;
University studies ; A & B+
Advance: pcm I scored D
O-level : A

Napenda sana somo hili kufundisha na kuwaelimisha wenza
 
Mkuu samahani kwa kuingizia hili kwenye uzi wako.umesema ulienda UDOM ukakuta ipo Masters in Mathematics.je kwamimi niliyesoma Bachelor Degree in Computer Science naweza kuwa admited kwa Masters ya Mathematics ya UDOM?
 
Ndio unaweza lakn kuna profesa mmoja ni head Wa mathematics department pale niliongea nae muda mrefu sana anasema pale udom hyo coz imekaa kisiasa kwan watu hawagraduate kimakusudi kuna udharimu dharimu alishauri bora udsm ama mzumbe kwan udom wanafunzi 4dat coz wanakua financed ivo fitina ni nyingi
 
We dogo nikajua ulikuwa kipanga wa maths kumbe msindikizaji tu!! kama somo ulilipenda ilikuwaje ukascore D advance wakati kwenye comb ya PCM hesabu ndiyo somo jepesi kabisa kufumua A au B.
 
Nashukur Mkuu Kwa Majibu Yako But Hapo Umesema Hiyo Masters Ya Udom Imekaa Kisiasa Ina Maana Wanafelisha Wanafunz Makusudi?Pia Kwan Mzumbe Nao Wanayo Hii Kozi?Najua Mi Udsm Na Udom Tu
 
Sielewi ila between the lines it can be so sentensi zake hazikua straight and mind you ye ndo mkubwa Wa department so isingekua ethical ye kufafanua kiivo,
Kuna thread humu ndani nimeiona inasema mzumbe pia ipo sina uhakika juu ya hilo.
 
Nashukur Sana Kwa Ufafauz Wako,ngoja Nifatilie Kama Mzumbe Wanayo Hii Kozi Nilipenda October Nisome Hii Kozi
 
We dogo nikajua ulikuwa kipanga wa maths kumbe msindikizaji tu!! kama somo ulilipenda ilikuwaje ukascore D advance wakati kwenye comb ya PCM hesabu ndiyo somo jepesi kabisa kufumua A au B.

Somo jepesi eeeh kwani wewe ulisoma combination gani???
Ujinga na uelewa Wa mtu haupimwi kwa makaratasi na hapo watanzania ndo tunaposhindwa,Don't judge a book by its cover.
Au kaulize aliekua Tanzania one aliishia wapi kama sio alidisco pale Mlimani.
D its still a mark kama sio tufanye wewe ulifaulu huna mchango wala mawazo unakurupuka unatoa sheat hyo D wewe unayo ama ulithubutu kua nayo??? Umeona D tu mbona A ujasema ,utabakia ivo ivo kushinda social network kutoa comments wanzako tunajifunza !!!!
 
Nashukur Sana Kwa Ufafauz Wako,ngoja Nifatilie Kama Mzumbe Wanayo Hii Kozi Nilipenda October Nisome Hii Kozi

Asante mkuu ukipata info comeback here for replies naona watoto wadogo wameingia wanasumbua na michango yao isiyo na tija
 
Somo jepesi eeeh kwani wewe ulisoma combination gani???
Ujinga na uelewa Wa mtu haupimwi kwa makaratasi na hapo watanzania ndo tunaposhindwa,Don't judge a book by its cover.
Au kaulize aliekua Tanzania one aliishia wapi kama sio alidisco pale Mlimani.
D its still a mark kama sio tufanye wewe ulifaulu huna mchango wala mawazo unakurupuka unatoa sheat hyo D wewe unayo ama ulithubutu kua nayo??? Umeona D tu mbona A ujasema ,utabakia ivo ivo kushinda social network kutoa comments wanzako tunajifunza !!!!

Wee mchalii acha kutokwa na povu jingi. Mi nilicomment hivyo baada ya wewe kujisifu kuwa advance ulifanya vizuri kwenye somo hilo wakati ufaulu waD unakuwa regarded kama hafifu.
Mimi kaka yako nilisoma PCM miaka12 iliyopita na nilifaulu vizuri kwenye hiyo maths kuliko wewe.
Rekebisha kwanza kauli yako ndo utokwe povu jingi kama unatafuna majani ya mpapai.
 
maelezo yako yanaonesha tu shule hujaenda D A-level ni hafifu ?? Nimekwambia weka yako kama unagats hzo afu kingne mi najisifu hesabu naijua sibahatishi inaezekana kipimo na uwezo wako Wa mawazo ndo umekwama kwenye D ni kufeli,miaka 12 iliyopita huna busara kiasi hcho am doubting your personality
 
Back
Top Bottom