Naomba kujua zaidi kuhusu Textile Engineering

Naomba kujua zaidi kuhusu Textile Engineering

Joined
Nov 15, 2014
Posts
40
Reaction score
7
Msaada,
Nataka kuomba textile engineering UDSM au niombe engineering ipi ambayo sitasota mtaani baada ya kumaliza chuo?
 
msaada nataka kuomba textile engineering ,udsm,,,,au niombe engineering ipi ambayo sitasota mtaan baada ya kumaliza chuo !
Unasoma ili upate ajira Mkuu? Wakati JPM hataki tena watu waajiriwe na serikali?

My take:
Chagua career ambayo itakusaidia kujiajiri mwenyewe Mkuu na sio kuangalia kuajiriwa. Kama una mawazo ya kuajiriwa utakuja kusota sana mtaani.
 
Back
Top Bottom