HUBERT KAIRUKI MEMORIAL UNIVERSTY

MD haipo kwenye hicho chuo imefutwa, uko dunia ya ngapi mkuu?
 
MD kairuki unaongeza milion 2. 8 serikali unakula milion 3. 1....... Na of course chuo ni classic sana kinatoa madaktari wazur
mkuu nina two pcb ya 10 mwaka huu na nimeomba hpo first priorty vp watanivuta au watanpiga chn!
 
MD kairuki unaongeza milion 2. 8 serikali unakula milion 3. 1....... Na of course chuo ni classic sana kinatoa madaktari wazur
daah kuna jamaa kanambia eti tcu hawapang vyuo wanaochukua wanafunzi ni vyuo husika..eti mfano umeanza na kcmc muhas hk lbda hk ikapewa nafasi ya kichukua wanafunzi eti inakuchukua hta kama umekiomba cha tatu.! sasa wakti umeomba kcmc umeomba cha kwanza..hpo vp cjaelewa! nijuzen
 
Sio kweli TCU ndio wanaodahili wanafunzi then vyuo vinapokea kutoka TCU ingekuwa hivyo watu fulani fulani ndo wangesoma vyuo fulani
Hapa ufaulu wako ndio unadetermine utaenda wap
Lakini first priority huwa ndo inakuwa considered sana so nafasi ya kwanza inabidi uangalie competition ya hicho chuo
 
naskia tetesi et kwamba hbat kairuki wanachukua div 1 na two je ni kwel mkuu?
 
Kwahiyo Unachomaanisha Wewe Ni Kuwa Kama CUHAS inataka wanafunzi 170 wa MD, ni Kwamba TCU inawachagulia CUHAS Wanafunzi 170 na Kuwakabidhi Majina tu au??

TCU wanapokea Maombi tu! lakini Wakishapokea Maombi Wao Wanapeleka Majina Ya Waombaji Waote Walioomba Cozi Husika Katika Chuo Husika Hata Kama Majina Hayo ya Waombaji ni 800, Hapo Ndiyo Chuo Kinachagua Wanafunzi Kinaowataka Kwa Idadi Yao Kulingana Na Sifa Zao Za Ushindani (Competition) na Kukabidhi Selected Wote Kwa TCU.

Kwahiyo Chuo Ndiyo Kinachochagua Wanafunzi na sio TCU.
Mkuu usipotoshe umma TCU ndo inachagua tena inakuandikia you have been provisionally registered lets say CUHAS MD ni 170 basi majina 170 ndo yanapelekwa chuo kwa ajili ya kuhakikiwa na panel ya admission wakisha hakiki wanarudisha TCU kuwa wanakubariana na orodha ya watu wale waliochaguliwa na TCU. Kuna vyuo viwili UDSM na MUHAS Hawa wana senate kabisa ambazo baada ya TCU kuleta majina lets say MD MUHAS ni 210 sasa TCU ikishaleta orodha ya hao 210 wanaweza toa 190 Hawa 20 waliobaki majina yao yanabandikwa kwenye website na kujulishwa warudi TCU ili wapangiwe vyuo vingine.

I stand to be corrected but hivyo ndivyo ilivyo kutokana na sheria ya mwaka 2005 iliyoanzisha TCU inaipa mamlaka ya kudahili wanafunzi vyuo vikuu vyote na kupeleka list ya wale tau iliyowachagua kutokana na idadi yao.
 
Uko sahihi mkuu, ata mimi ndio nafaham hivyo.
 
TCU inavichagulia vyuo wanafunzi kulingana na sifa husika ambazo chuo kimezipeleka TCU

Mwaka jana kwa mfano,TCU ilichagua wanafunzi ikapeleka MUHAS then chuo kikawakataa,kwa hiyo ni TCU ndio inachagua
 
Mkuu usipotoshe umma TCU ndo inachagua tena inakuandikia you have been provisionally registered lets say CUHAS MD ni 170 basi majina 170 ndo yanapelekwa chuo kwa ajili ya kuhakikiwa na panel ya admission wakisha hakiki wanarudisha TCU kuwa wanakubariana na orodha ya watu wale waliochaguliwa na TCU. Kuna vyuo viwili UDSM na MUHAS Hawa wana senate kabisa ambazo baada ya TCU kuleta majina lets say MD MUHAS ni 210 sasa TCU ikishaleta orodha ya hao 210 wanaweza toa 190 Hawa 20 waliobaki majina yao yanabandikwa kwenye website na kujulishwa warudi TCU ili wapangiwe vyuo vingine.

I stand to be corrected but hivyo ndivyo ilivyo kutokana na sheria ya mwaka 2005 iliyoanzisha TCU inaipa mamlaka ya kudahili wanafunzi vyuo vikuu vyote na kupeleka list ya wale tau iliyowachagua kutokana na idadi yao.
Mko sawa.TCU ndio inachagua then inawapelekea chuo.

sante sana..bt wanasema kuwa unaweza kuedtt info zako kwa profile bt mbn ukichange priorty idadi ya aplicant haibadliki?
 
Back
Top Bottom