Msaada juu hili

Msaada juu hili

Saidss2

Senior Member
Joined
Sep 14, 2014
Posts
104
Reaction score
49
Hv Wakisema Hv Wanakuwa Na Maana Gani Kwa anaejua Naomba Msaada
"Two principal passes in any subjects. If one of the
passes is not in Mathematics a Subsidiary or Pass in
Mathematics at “O” level is required"
 
eg matokeo ya form 6 ya mwaka huu ktk combination ya PCB una ABC kwa maana ya Two principle passes unachukua ktk masomo 2 tu.yuseme ume apply course inayohitaji uwe na ufaulo wa hesabu na kwa bahati mbaya hukusoma pure mathematics hivyo badala yake ulisoma BAM na ulipata S-subsidiary ndio wanayohitaji au pass ya hesabu ya o-level ambayo inaanza na D
 
Hapo Wanamaanisha Hizo Principal Passes (Yaani D D za Form Six) Katika Somo Lolote lile Lakini Moja Katika Ya Hizo Mbili ni Lazima iwe Ya Mathematic (Form 6), Ikiwa Huna Principal Pass (D) Ya Mathematic Ya Form Six Basi Ni Lazima Uwe na Pass au Subsidiary ya Mathematic Kwenye O-level (Form Four).
 
kwa form 4 ya mwaka 2013 subsidiary Ni ipi??
E Au??
 
eg matokeo ya form 6 ya mwaka huu ktk combination ya PCB una ABC kwa maana ya Two principle passes unachukua ktk masomo 2 tu.yuseme ume apply course inayohitaji uwe na ufaulo wa hesabu na kwa bahati mbaya hukusoma pure mathematics hivyo badala yake ulisoma BAM na ulipata S-subsidiary ndio wanayohitaji au pass ya hesabu ya o-level ambayo inaanza na D
Na Hiyo Subsidiasry Kwa form 4 Mwaka 2013 Ni E Au??
 
Back
Top Bottom