Ajira za ualimu

Ajira za ualimu

nyasho

New Member
Joined
Aug 4, 2016
Posts
2
Reaction score
0
Naomba msaada kujua je Ajila za ualimu mwaka huu zinaweza kutolew pamoja nikimaanish kwa wale wahitimu wa mwaka jana na wa mwaka huu wanaweza toa ajila kwa wote
 
Nenda kajiajiri ajira hakuna hasa wale wa BAED
 
Tena muuliza swali wewe huwezi kupata *Ajira* nenda kasome sayansi mana mwaka huuu BAED _HK ,GK hatuwajiri
 
Naomba msaada kujua je Ajila za ualimu mwaka huu zinaweza kutolew pamoja nikimaanish kwa wale wahitimu wa mwaka jana na wa mwaka huu wanaweza toa ajila kwa wote
Bora tu msiajiriwe kwa uandishi huu....
 
Subiri, kaka zako wa mwaka jana bado hatujawapatia hizo ajira ebo! Halafu usisahau kutafuta kadi ya chama chetu... maana kazi tunatoa kwa style hiyo mwaka huu
 
Nenda kajiajiri ajira hakuna hasa wale wa BAED
Acha figisu figisu ww ulisoma nini km sio hiyo BAED?
Mbona wakati mwingine hujielewi au kwa sbb ww upo kazin ndicho kinakupa kiburi.
Km majibu yako ndiyo haya hata wanafunzi wako wanapata shida kukuelewa.
Teaching ni sekta nyeti sana na ukiwa mwalimu ww ni role model kwahiyo acha kutema u.tu.mbo unaharibu taaluma ya ualimu.
Ww ndio mtu unaetegemewa kujenga maadili ktk jamii na sio kubomoa.
Walimu wa siku hiz sijui wakoje sijui wanavuta ba.ngi kwanza ndio wanaingia darasani.
Angalia hata ujuz ulichpost, kukuamsha mtu ukiwa umelala ni jambo la kawaida. Usingiz upo tu mwl. Siku nyingine usikasirike na usaidie km ukipendezwa na sio kubagua kuwa huyo ni muslim siwez kumsaidia. Mungu anawapenda watu wote na habagui.
Kabla ya kupost jitafakari sana ww ni mtu muhimu sana ktk jamii.
Ndio maana kikitokea kikao chochote mtaan mwl. Lazima upewe first priority. Mpaka hapo umenipata
 
mmmmhh walimu utawajua tuuu
 
Hizi mada zinachosha sasa subiri uhakiki uishe.
Hujalazimishwa kuchangia, tatizo la huyo Jamaa sio lako. Yawezekana ajira kwake ndiye mwokozi kwake bhana, kama hujiskii kusoma au kuchangia skip it please
 
Sasa waliomaliza mwaka huu wawaajiri kwa bajeti gani, wakati bajeti waliyopitisha bungeni ni billion 17 za walimu waliomaliza mwaka jana.
 
Back
Top Bottom