Vyuo vinavyotoa bachelor ya pharmacy

Vyuo vinavyotoa bachelor ya pharmacy

DENICE ADRIAN

Senior Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
127
Reaction score
30
ni vyuo vp hpa tz,private au govnt ambavyo vinatoa bach.of pharmacy hpa tz ni vp?
 
MUHAS
CUHAS
St. JOHN
KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY
Ni hivyo pekee ndo vinatoa degree ya PHARMACY na hupokea watu wachache based on competition na ufaulu wa mwaka husika
MUHAS = 60
CUHAS= 10
St. JOHN= 50
KAMPALA = 100
 
santeee mkuuu
 
Back
Top Bottom