elimu yetu......

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,839
31,594
Ningependa kupendekeza elimu yetu iwe yenye kuwaruhusu wanafunzi kujisomea wenyewe,kuchunguza topic,kuja na findings na kuweka hitimisho wenyewe.....

Sio mfumo wa sasa ,ambao unatu spoon feed us,unaencourage ku cream,unakuta kaam ni history essay,darasa zima linaandika sentesi zinazofanana....wamecream mpaka nukta....:):):):)
 
Back
Top Bottom