St Joseph heath and allied science

St Joseph heath and allied science

JaphetJacob

Senior Member
Joined
Dec 11, 2015
Posts
106
Reaction score
121
Hivi chuo cha St Joseph ni kizur kwa MD ??
Na wanatumia hospital gani kufanyiwa practicals??
Na walimu wao ni wazur??
Naomba msaada kwa anayekijua vizur
 
kipo vizuri practical kazini pale unapata elimu juhudi zako zitakufany ujue procedure zote
 
walimu wanao wakutosha na hospitali hipo hapohapo chuoni ni kubwa kiasi maana wanafanya na upasuaji pia....ila tatizo ni ada kama unaweza kapige kitabu.
 
Hivi chuo cha St Joseph ni kizur kwa MD ??
Na wanatumia hospital gani kufanyiwa practicals??
Na walimu wao ni wazur??
Naomba msaada kwa anayekijua vizur
weka ufaulu wako na point ngp nikushauri chuo cha kwenda!
 
Asaa
walimu wanao wakutosha na hospitali hipo hapohapo chuoni ni kubwa kiasi maana wanafanya na upasuaji pia....ila tatizo ni ada kama unaweza kapige kitabu.
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom