MSAADA JAMANI JUU YA COZ YA MD KWA HV VYUO

DENICE ADRIAN

Senior Member
Feb 14, 2014
127
30
habari wanajamvi mm nimemalza f6 mwaka huu na mamshukuru Mungu nimepata div two ya 10 phy d chem c bios c bam s g.s e...nimeomba hv HUBERT KAIRUKI,ST.JOSEPH,CUHAS phamacy,ARCHBISHOP JMS,KCMC kwa optimetry...HAPO VP NAWEZA NKACHAGULIWA CHUO GAN HPO..maana watu wameshanktisha tamaa..ushaur plz
 
Utachaguliwa moja kwa moja Kairuki ila mi ningekushauri uweke high
1. CUHAS
2. KAIRUKI
3. KCMC
4. KCMC another course
5. St JOSEPH
Am sure utapata unacho taka hapo CUHAS wala usitishwe kua Bugando ni one only hata two wapo wengi na wanapiga MD kama kawa
 
lkn naona cuhas watu weng wameomba mkuu..
 
Utachaguliwa moja kwa moja Kairuki ila mi ningekushauri uweke high
1. CUHAS
2. KAIRUKI
3. KCMC
4. KCMC another course
5. St JOSEPH
Am sure utapata unacho taka hapo CUHAS wala usitishwe kua Bugando ni one only hata two wapo wengi na wanapiga MD kama kawa
afu kuna jamma kanambia eti tcu hawachagui bali vyuo ndo vinachukua yaani vinajichaguliwa toka tcu..yaan lbd umepanga hv ABCD lbda chuo c kimepewa nafasi ya kuchagua kikiwa cha kwanza kbl ya chuo a hpo vp utachukuliwa chuo c na sio chuo a ambcho umeomba cha kwanza?
 
Ulivyopanga sawa Kairuki applied so far mpaka jana ni 172 na wanataka 170......... Wakati St Joseph n 50 applied so far na wanataka 200 sasa Cuhas watu wengi.... Hivi havina competition na mwaka huu first selection ikikukosa kuna hatarii ya kusoma kitu ambacho hujaplan..... We acha hivyo na diploma wakiaply sana kairuki St Joseph kianze cha kwanza ..... Wao wanaanza kesho according to CAS
 
Mkuu St Joseph sio Kama Watu Hawakioni, ila Ada (Tuition Fee) Yake ipo juu Sana yaani 5M, Ndiomana ikawa Watu Wanakikwepa Sana that is why mpaka hapo ulipoangalia weww wameapply 50 tu.
 
yupi anapewa first priorty kati ya fom six leaver na diploma applicant?
 
Ulivyopanga sawa Kairuki applied so far mpaka jana ni 172 na wanataka 170......... Wakati St Joseph n 50 applied so far na wanataka 200 sasa Cuhas watu wengi.... Hivi havina competition na mwaka huu first selection ikikukosa kuna hatarii ya kusoma kitu ambacho hujaplan..... We acha hivyo na diploma wakiaply sana kairuki St Joseph kianze cha kwanza ..... Wao wanaanza kesho according to CAS
yupi anapewa first priorty kati ya fom six applicant na diploma applicant?
 
Sio mbaya kwa vyuo ulivyoomba na ufaulu wako huo..! But kubal maamzi yyte kutoka TCU maana ya Mungu mengi...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom