Msaada kuhusu digrii ya Health Information Systems

jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
19,998
38,285
Wakuu ningependa kufahamishwa kwa undani kuhusu hii kozi hususani;
◇vyuo vinavyotoa kwa hapa Tanzania.
◇hitaji lake katika soko la ajira.

Pia kwa anaye soma kozi hii au aliyemaliza anipatie uzoefu wake na changamoto zake katika hii kozi.
 
Samahani kama tatumia hii lugha kukuita wewe mmbeya na mnafiki umekuja hapa kuuliza huna lengo la hii kozi ila umesikia mtu kasoma hiyo kozi kwaiyo unaitaji je mamuzi yake yapo sahihi au uyo mtu kapotea kwanini nasema mmbeya

Ungekuwa muitaji kwanza ungekuwa unajua chuo au vyuo vinavyotoa hiyo kozi ila wewe hajui pili ungekuwa ushajua maslahi yake yakoje ila wewe ujui kwaiyo wewe ni mnafiki na acha hii tabia ya kufuatilia maisha ya mtu kuyadadisi dadis sana

Huu ndio ukweli wewe si muitaji umeandika kutaka kupata umbeya ili muadithiane uko kingine hii kozi haitwi hivyo umekosea
 
Masters Degree in Health Information Systems

Master's degree programs dealing with health information systems are typically referred to as health informatics programs. A Master of Science in Health Informatics degree program focuses on computer science, healthcare, information technology, biomedical science and the collection and application of healthcare data.

Mkuu nadhani kuna Masters ya hivyo au hiyo course unaona inaitwaje??
 
Mwanzisha thread yupo right nadhani sidhani kama yupo wrong sema kuna sehemu kidogo amekosea nadhani inabidi turekebishane na sio kukosiana kama umbea au sio umbeya sisi hautusu hata kidogo zaidi tumsaidie yeye aendelee na mambo yake...
 
Hzo ni kozi inayomfaa mtu ambaye tayari ni Daktari.Watz tuwe makini na kusosoma bila mipango na kiujanja.Tuzame na kusoma vitu vinavyoeleweka.Siku hz ati ana-specialize akiwa undergraduate??
 
Masters Degree in Health Information Systems

Master's degree programs dealing with health information systems are typically referred to as health informatics programs. A Master of Science in Health Informatics degree program focuses on computer science, healthcare, information technology, biomedical science and the collection and application of healthcare data.

Mkuu nadhani kuna Masters ya hivyo au hiyo course unaona inaitwaje??
Mzumbe wanatoa Ba HSM (Hedlth Service Management).
 
Samahani kama tatumia hii lugha kukuita wewe mmbeya na mnafiki umekuja hapa kuuliza huna lengo la hii kozi ila umesikia mtu kasoma hiyo kozi kwaiyo unaitaji je mamuzi yake yapo sahihi au uyo mtu kapotea kwanini nasema mmbeya

Ungekuwa muitaji kwanza ungekuwa unajua chuo au vyuo vinavyotoa hiyo kozi ila wewe hajui pili ungekuwa ushajua maslahi yake yakoje ila wewe ujui kwaiyo wewe ni mnafiki na acha hii tabia ya kufuatilia maisha ya mtu kuyadadisi dadis sana

Huu ndio ukweli wewe si muitaji umeandika kutaka kupata umbeya ili muadithiane uko kingine hii kozi haitwi hivyo umekosea
Ulitakiwa kumjibu, nonsense
 
Asante kwa mchango wako
 
Mzumbe ndo waasisi wa hiyo kozi ..nasikia hata udom wanatoa siku hizi..inalipa na ni kozi nzuri sana ..km MTU wa magumashi utavuna sana ila usisubutu kukutwa na bwana pepsi
 
mkuu mzumbe wanatoa health systems management ila udom hii kozi inaitwa health information system nimecheki prospectus ziko tofauti sana ya mzumbe imejikita zaidi katika masuala ya administration ila ya udom imejikita zaid kwenye mambo ya IT
 
Upo sawa mkuu
 
Back
Top Bottom