Hivi wakuu mtuu ukirisiti somo la A-level ambalo mwanzo ulipata D ukarudia kurisiti matokeo yakaja umepata E unakua umefuta ile D ya mwanzo au unaweza tumia hiyo D uliyoipata mwanzo?
Asanteni
Kuna dogo langu hapa anataka kuapply hvyo hvyo japo yuko chini ya vigezo naomben maelezo kama kuna aliefanya hvyo akafanikiwa kutuma maombi ila nimsaidie hyu ndugu yetu
TAHADHARI DHIDI YA MATAPELI KWA WAOMBAJI WA MIKOPO YA ELIMU YA JUU NA WADHAMINI WAO
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwatahadharisha waombaji wa mikopo ya elimu ya juu kwa...
Nilituma maombi kwa ajili ya kozi ya computer ngazi ya diploma. Awamu ya kwanza sikuchaguliwa sababu waliandika kuwa sina principle ilihali mimi niliomba kwa kutumia cheti cha kidato nne na cheti...
Heloo, vipi wakuu
Naomba kujuzwa zaidi au kutaka ufafanuzi zaidi juu ya chuo kizuri cha ualimu wa sanaa hapa Tanzania.
.
kwa upande wangu nimeandika Dodoma na Mkwawa hivo...
JITU LA MIRABA MINNE
BOX OO
MWANZA
YAH;MAOMBI YA KUFUNGULIWA KWA MAOMBI YA DIPLOMA KWENDA DEGREE
Husika na kichwa cha habari hapo juu,mimi ni kijana wa kitanzania nina...
Mkuu wa wilaya Majula kasika , mkurugenzi Marcelin Ndimbwa na Engineer, Maimuna makutika wa wilaya ya Malinyi wakutana na wahitimu wa vyuo vikuu Dar es Salaam Leo 13 .8.2016
Katika kuhakikisha...
Habari wana JF
Hivi nilitaka kusaidiwa kitu kumoja.
Kuna siku kuna kaka yangu mmoja anasoma civil engineering pale MUST mbeya.
Alikuwa anataka kuapply mikopo kwa bodi ya mikopo na mwingine dada...
Serikali imewapeleka wanafunzi wa masomo ya afya katika chuo kikuu cha Kampala na kuwatelekeza huko bila msaada na kuendelea kuwakandamiza..
Hivyo wanafunzi wa chuo hicho sasa wanajulikana kama...
Swali: kwanini wakati wa usiku vumbi hubaki/huganda sana ktk anga hii yaweza onekana barabarani kiurahisi,,,,, Na pia wakat wa usiku pia moshi huganda pia hewani badala ya kusambaratika???
Soma hii:
TAARIFA KWA UMMA
Bodi ya Mikopo inapenda kuwataarifu wadaiwa wote waliopo Dar es Salaam kuwa Ofisi za Bodi zitakuwa wazi kwa siku mbili za kesho, Jumamosi, Julai 30, 2016 na Jumapili...
Nimekosea kujaza mwaka kwenye namba ya mtihan ya o level nimeeka 2016 baada ya 2013 nifanyeje kuepuka kuitwa kwa waliokosea au sitoitwa kwa vile cheti cha matokeo kinaonesha mwaka sahihi. Naomba...
karibu lisaa sasa imepita tangu niingize code za malipo ya ada ya maombi nacte,, lakini bado sijapata username na password ili kuconfirm usajili huo wa nacte na kuendelea na mchakato wa maombi...
Yafuatayo ni maongezi ya kijana Julius na mtangazaji wa PB, Gerald Hando wa Clouds FM. Julius afunguka na kueleza jamii sababu iliyomfanya afanye kitendo hicho.
Historia fupi...
Jina langu...
Leo kuna mida fulani nimepigiwa simu na mama mmoja hivi namba ngeni! Kwa kuwa simu yangu nimeweka True caller imeniletea jina juu pale St.Joseph! Nika pokea akaniambia naongea na mzazi/mlezi wa...
Habari wadau wa elimu??! Nina shida na ushauri wenu juu ya programu tajwa hapo juu. Nina digrii ya manunuzi na ugavi.vipi ninaweza kuomba hiyo kozi. Ninaipenda kweli.....
Rais anaposema watu wazae tu watoto maana watasoma bure afu wakifika advance anawakandamiza kwa grade ambazo ki ukweli ni ngumu ukilinganisha na miondombinu mashuleni
Pia kutotoa fedha kwa ajili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.