Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Jamani naombeni mnisaidie kuhusu upatikanaji wa ajira wa hii course pamoja na malipo yake please kwa mtu aliyemaliza digrii ya kwanza
0 Reactions
17 Replies
11K Views
Wale wa diploma to bachelor guidbook tayari
1 Reactions
2 Replies
959 Views
TCU NDO WAMESHATOA EQUIVALENT ADMISSION GUIDEBOOK 2016/2017 KWA DIPLOMA JAMANI ILA BADO KUFUNGUA SYSTEM YAO.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Samahani kwa usumbufu wakubwa ninaomba tu mnielezee uwezo wa hicho chuo katika kutoa elimu kwa sababu nimechaguliwa apo in diploma of nursing plz msaada wenu juu ya historia ya chuo #asanteni
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Salam kwenu wakuu, Kama mkereketwa wa masuala ya elimu, Nina imani serikali inaitambua vyema shule hii yenye historia maridhawa. Ikiwa imeanzishwa Mwaka 1929 na ikijulikana kama st.Thomas more...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF, mimi ni mgeni humu jamvini. Naomba msaada wa kupata namba za simu za mhusika yeyote wa ofisi za TCU upande wa Admission mana kuna tatizo la kiusajili nimekutana nalo ambalo...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Jamani TCU ndo mmeshatusahau au vip leo tar 15 bado kimya
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Albert Einstein, a man whose name is practically synonymous with genius, is one of history's greatest thinkers. As a physicist and mathematician, Einstein wasn't an inventor in the vein of Thomas...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana JF. Nimehitimu kidato cha sita kwa mwaka huu na nimesoma masomo ya sanaa. Na kama mnavyojua ufinyu wa soko la Ajira kwa masomo ya sanaa nimejaribu kufatilia hii course yan Bachelor of...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Tunasubiri Leo Dirisha la udahili kupitia TCU lifunguliwe. Wakati huohuo wale wa Nacte hakuna kipya mpaka sasa. Kulikoni?????[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Muslim university of Morogoro inapenda kuwataarifu wa mwaka kwanza 2016/17 kuwa itatoa mikopo kwa upande wa ada Hivyo changamkien fursa hii mara moja
1 Reactions
59 Replies
10K Views
Poleni kwa kazi nzito ya kulijenga taifa hili changa. Nahitaji kujiendeleza kielimu kwa level ya masters, naombeni kujua chuo chenye ada ndogo hapa nchini na pia muda wa kusoma mpaka kumaliza kwa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
mwenye taarifa juu ya tamisemi kutoa second second selection lini atujuze tafadhali
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF kwa wenye ufahamu kuhusu chuo bora kwa programme ya Procurement and Logistics Management kati ya (1).Mzumbe ambayo hutoa Bachelor of Business Administration in Procurement and Logistics...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
NACTE mwisho kuomba chuo lini kwenda University (bachelor)?
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kama thread ilivyo hapo juu,naomba anijuze kuhuc join instraction kama kuna mtu katumiwa,form ya kudownload ninayo naulizia original from prncpl.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau salaam Kuna chuo kinatafuta mwalimu wa umeme wa magari mwenye diploma ya field hiyo na mwenye uzoefu wa kutosha na kazi hiyo. Awe na idea na masuala ya Electronics. Mwenye kuhitaji hiyo post...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwanikisoma hiki kitabu Kwa muda sasa nashauri watawala wakitafute wakisome pia Na wajamii forum munaweza kukipata jitaidi mkisome hiki kitabu!! Kuna vitu nimejifunza kupitia yanayoendelea...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Wadau naomba Masada wenu, Vipi pesa za field kwa wanafunzi WA chuo cha DIT zimeshatoka?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hey! Jamani nataka kujua kitu mm sijapita kuingia MD .lakini in form 6 leaver naombeni mnisaide .Nasoma advance diploma ya clinical officer au ordinary diploma ya clinical officer afu ndio naingia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom