Kwa wale scientists au environmentalists

Kwa wale scientists au environmentalists

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Swali: kwanini wakati wa usiku vumbi hubaki/huganda sana ktk anga hii yaweza onekana barabarani kiurahisi,,,,, Na pia wakat wa usiku pia moshi huganda pia hewani badala ya kusambaratika???
 
Mimi ninavyoelewa ni kuwa usiku moshi au vumbi haigandi sema lina posses motion ndogo tofauti na mchana ambapo husonga kwa speed hilo linasababishwa na jua usiku jua huwa halimuliki side yetu na ivo hii side ambayo haipati sun rays huwa na less energy na kusababisha vitu kama upepo, na hizo moshi kuwa slow
 
Back
Top Bottom