Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Eti jamani.kuapply diploma yoyote hususan ya maendeleo ya jamii unapaswa kuwa na gpa ya ngap???
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu nimekuwa nikishangazwa sana na utaratibu wa serikali kuwaajiri wahitimu wa shahada ya kwanza wa elimu ya awali (graduates of bachelor of early childhood education) kuwa walimu wa shule za...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
hv jamen mbna ukichange priorty ya vyuo mbn competition haichenj yaan labda umetoa cha kwanza ukaweka cha pili na cha pili ukakiweka cha kwanza mbn idad ya competition haichenj au ndo unakuwa...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu naombeni msaada kuhusu hiyo course hapo juu je inasoko la ajira?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nauliza kwa wanaujua hii kozi ya mechatronics hasa inadeal na vitu gani? Soko lake la ajira likoje maana nimeona katika list ya kozi zinazotolewa katika chuo ya sayansi na teknolojia mbeya "MUST"...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimemaliza kozi ya udactari lakin napenda kusoma kozi ya computer ila cjui ni some koz ipi ambayo ina dili hapa tanzania
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wana JF .. sote tunajua matumizi ya mitandao lakin kuna watu wanajifanya wao wanaujua vizuri.... Kuna jamaa ameni PM na hii sms ""Nimeona ukiwa na wasiwasi wa kukosa chuo. kuna chuo...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Kichwa cha habari kinajieleza!
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nauliza tu, hivi ni kwanini katika mitihani miaka yote wanaorudia mitihani au watahiniwa wa kujitegemea(Private candidates) kufanya vibaya hasa masomo ya sayansi? Kuna usiri gani hapa na NECTA...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
*TAARIFA KWA WANAFUNZI WOTE WA ELIMU YA JUU NCHI NZIMA WANAOHUSIKA NA FEDHA ZA MAFUNZO KWA VITENDO (FIELD). TAHLISO imekuwa mstari wa mbele sana katika kuhakikisha fedha hizo zinalipwa kwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Next time you’re feeling down about your failures in school, college or in a career get to know that not everyone who’s on top today got there with success after success. More often than not...
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Habari zenu humu... Mimi ni kijana mtanzania nimemaliza kidato cha sita. Mchepuo wa hgl...nimefaulu kwa kupa daraja la pili na point 12....nimeamua kujaza TCU application mwenyewe kwa kutumia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mimi leo nimefuta machaguo ya vyuo huko tcu na nkaanza kuomba upya.nimeomba HUBERT KAILUKI COZ YA MD BT NIMEKUTA watu 172 wameomba hv mm naweza kupata nafasi kwel ukiangalia nafas zilizopo ni 170...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
The Chairman of the Board of Directors of the Higher Education Students’ Loans Board wishes to announce the appointment of Mr. Abdul-Razaq Badru (pictured) as the Executive Director of the Higher...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Viongozi wanaongea sana kuhusu madawati shuleni, pia wanajitahidi kuhakikisha kuwa yanapatikana. Vizuri sana. Je, wanafanya hivyo wakijua shule zenyewe zikoje? Kwa sasa darasa kama halina...
0 Reactions
1 Replies
901 Views
Nimeingia katika mfumo wa usajili wa nacte ujulikanao kama CAS,nikafanya uchaguzi wa kozi mbali mbali,mpaka kufika tarehe ya mwisho 5 august,tatizo langu ni kwamba baada ya kuongeza muda wa maombi...
0 Reactions
3 Replies
781 Views
Viongozi wanaongea sana kuhusu madawati shuleni, pia wanajitahidi kuhakikisha kuwa yanapatikana. Vizuri sana. Je, wanafanya hivyo wakijua shule zenyewe zikoje? Kwa sasa darasa kama halina...
1 Reactions
3 Replies
965 Views
Za jioni wana jf mimi naombeni msaada wenu juu ya hili ...niliapply coz ya Afya kwa ngaz ya diploma mwezi wa 3 nikawa sijachaguliwa wakasema tuapply second round kule Nacte nikaapply tena sasa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu? Naona OLAS ipo wazi, je wanaruhusu maombi mapya kwa wanaotaka kutuma maombi ya mikopo au?
0 Reactions
3 Replies
996 Views
INAWAHUSU WAHITIMU kutoka necta kuna haya wanafynzi wa PCB 2016 wenye points 10, 9, NA 8 IDADI yao ni 387 na wenye points 7 ni 337, facults zenye points hizo ni MD MUHAS, MD UDSM, PHAMAS...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom