Abu_yazid
JF-Expert Member
- Mar 28, 2014
- 3,434
- 4,256
karibu lisaa sasa imepita tangu niingize code za malipo ya ada ya maombi nacte,, lakini bado sijapata username na password ili kuconfirm usajili huo wa nacte na kuendelea na mchakato wa maombi,, sasa sielewi hili ni tatizo la kiufundi?? natakiwa niwe na subira kupata hiyo username na password?? au ndio nimeshaliwa ka ela kangu??