Man mshindi
Member
- Aug 8, 2016
- 23
- 16
Kuna dogo langu hapa anataka kuapply hvyo hvyo japo yuko chini ya vigezo naomben maelezo kama kuna aliefanya hvyo akafanikiwa kutuma maombi ila nimsaidie hyu ndugu yetu
Hii mkuu una uhakika nayo? Kama ni kweli mshauri pia angalie program mbadala asije akaishia hewani na kupoteza muda wake.yeah kuna rafiki yangu amesoma EGM juzi ameaply degree kupitia TCU na amepata DEE cha ajabu ameruhusiwa kuchagua vyuo na sasa hivi anasubiri kuchaguliwa.
yeah mkuu na uwakika na kitu nilicho kiandika yani sijuhi TCU system yao ipo vp kwenye kudahili elimu ya vyuo vikuu...Hii mkuu una uhakika nayo? Kama ni kweli mshauri pia angalie program mbadala asije akaishia hewani na kupoteza muda wake.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] n kweli aisee kuna dogo PCB kafanya nmemfnyia application.Kuapply anaweza maana ataruhusiwa anachofanya ni kuongezea hela TCU ila post yake haitoki
Maana hata kama umesoma HKL unaweza kuapply MD MUHAS system wakat unaapply haikuzuii ila utakiona kwenye selection
NACTE wameongeza muda mpk Jmosi akaaply huko......
Hii ina maanisha lazima tuwe waangalifu zaidi kama stage ya maombi CAS haioanishi ufaulu na program uliomba. Kazi hiyo basi itafanyika kuanzia 01.09.2016 hivyo kama umekosea itakula kwako na itakutema haraka sana.[emoji85] [emoji85] [emoji85] n kweli aisee kuna dogo PCB kafanya nmemfnyia application.
Chaajabu tukieka education ya arts inakubali.
Tukieka petroleum inakubali.
Tukieka electrical inakubali naakaati petro na electr znaitaj PCM[emoji87] [emoji87]
Sasa DEE si ni point 4 izo, au Hujaangali vzur?yeah kuna rafiki yangu amesoma EGM juzi ameaply degree kupitia TCU na amepata DEE cha ajabu ameruhusiwa kuchagua vyuo na sasa hivi anasubiri kuchaguliwa.
We jaza tu alafu uchaguliwe ila ukifika mwaka wa tatu ukaja chomolewa chuo ukaambiwa hukuwa na vigezo hatutaki mje muanze kutupigia kelele humu
point 4 kivp?Sasa DEE si ni point 4 izo, au Hujaangali vzur?
Wanataka point nne kwenye masomo mawili tu Mkuu sasa hiyo DEE tayari matatuSasa DEE si ni point 4 izo, au Hujaangali vzur?
mkuu anachaguliwa kwasababu ameruhusiwa kuomba chuo na TCU*HUTOCHAGULIWA COURSE YOYOTE MKUBWA*
uyo anazo point nne D=2 E=1 E=1......2+1+1=4...... Ndo maana TCU wamemruhusu kuomba chuo!!Wanataka point nne kwenye masomo mawili tu Mkuu sasa hiyo DEE tayari matatu