Kuelekea kufungwa kwa usaili NACTE 13/08/2016, mwenye ufahamu naomba anitoe wasiwasi katika hili

libra

JF-Expert Member
May 23, 2013
301
121
Nilituma maombi kwa ajili ya kozi ya computer ngazi ya diploma. Awamu ya kwanza sikuchaguliwa sababu waliandika kuwa sina principle ilihali mimi niliomba kwa kutumia cheti cha kidato nne na cheti cha computer NTA level 4.

Nilipoenda waliniambia nisiwe na wasiwasi kuna matatizo yalitokea kwahiyo watalifanyia kazi. Kweli kwa sasa kuna matumaini ila kuna kitu kinanipa wasiwasi. Ukiingia kwenye admissions status sehemu ya entry requirement kwa upande wa cheti cha kidato cha nne wameandika "required qualification found"na kwa upande wa cheti cha NTA level 4 hawajaandika chochote.

Hili linamaanisha nini wakuu? Ina maana cheti changu cha NTA level 4 hawajakiona ilihali nilikiapload?!
 
screenshot..png
Screenshot.png
 
Nilituma maombi kwaajili ya kozi ya computer ngazi ya diploma,awamu ya kwanza sikuchaguliwa sabababu waliandika kuwa sina principle ili hali mimi niliomba kwa kutumia cheti cha kidato nne na cheti cha computer ntl level 4,nilipoenda waliniambia nisiwe na wasiwasi kunamatatizo yalitokea kwahiyo watalifanyia kazi.kweli kwasasa kunamatumaini ila kunakitu kinanipa wasiwasi,ukiingia kwenye admissions status sehemu ya entry requirement kwaupande wa cheti cha kidato cha nne wameandika "required qualification found",na kwa upande wa cheti cha ntl level 4 hawajaandika chochote.Hili linamaanisha nini wakuu?,inamaana cheti changu cha ntl level 4 hawajakiona ilihali nilikiapload!.
kwan iyo kozi ndio IT
 
ndugu kwani kuna sehemu ya kuatach vyeti
na mbona hakuna sehemu inayoonesha certificate attachment.,
msaada tafadhali
 
IPO KAMA UNA CHET CHA NTA LEVEL4 KAMA MTOA MADA ALIVYOSEMA UNASCAN ALAF UNA UPLOAD HAPO UTAKUA USHAATACH HIYO DOCUMENT
Cheti nilisha upload tatizo ni hapo kwenye entry requirement haioneshi kama wamekiona wakati cha kidato cha nne wameandika required qualification found,je?hii ni kwa wote waombaji au mimi tu.
 
Wewe uli upload nini?mimi nili upload transcript
SIO TRANSCRIP PEKEE PAMOJA NA CHET
ALAF "required quarification found" maana yake sifa zinazo hitajika zimejionesha au zipo bayana
Kwahiyo usiwe na shaka juu ya hilo
 
Wasiwasi wangu ulikuwa kwanini kwenye cheti cha kidato cha nne wameandika"required qualification found"wakati kwenye cheti cha ntl level 4 hawajaandika chochote.

Sent from my HTC Desire 820 dual sim using JamiiForums mobile app
 
Nimemalza certificate in clinical medicine nilitaka CA to CO lakini niliupload cheti baadaye nikatumiwa email kuwa niapload transcript lakin ukiupload transcript cheti kinaondoka yaan ni matatzo
 
Hakuna sehemu ya kuweka vyote ni kimoja tu mimi natafuta aliyechaguliwa awamu ya kwanza ambaye alitumia qualifications za Certificate akape diploma kwa mwaka wa masomo huu 2016/2017nijue alifanyaje
 
Tatizo hawako wazi kwamba wanataka nini cheti au transcript.
 
Hakuna sehemu ya kuweka vyote ni kimoja tu mimi natafuta aliyechaguliwa awamu ya kwanza ambaye alitumia qualifications za Certificate akape diploma kwa mwaka wa masomo huu 2016/2017nijue alifanyaje
UNAATACH VYOTE KTK FILE MOJA WEWE
MIMI NILKUA NACTE NA WAMENISCANIA WENYEWE SHUGHURI ZOTE ZA APPLICATION NIMEFANYA HAPO HAPO
 
Ukiangalia kwenye entry requirement sehemu ya vyeti ulivyo scan wameandikaje?
 
Wasiwasi wangu ulikuwa kwanini kwenye cheti cha kidato cha nne wameandika"required qualification found"wakati kwenye cheti cha ntl level 4 hawajaandika chochote.

Sent from my HTC Desire 820 dual sim using JamiiForums mobile app
Hiyo ni kwa wote ipo hivyo!!! Kwa kiswahili anamaanisha Ufaulu unao hitajika umepatikana! Kwa kifupi una vigezo!!! Hawaandiki form six au wapi kwa sababu Diploma unatumia cheti cha Form 4 ungekuwa huna vigezo hilo neno lisengekuwepo au neno NO Lingeongezeka!!!
 
Poa mkuu nashukuru
 
Back
Top Bottom