Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari wana JF, Kutokana na kazi kuwa ngumu kupatikana hata watu wa masterz wameamua kuficha magamba yao wakati wanaomba kazi. Wanakuwa na masterz lakini wanaomba kazi za ordinary degree na...
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Jamani katika vyuo vya hapa Tz ni kipi kinatoa kozi za urubani,nina mdogo wangu amefanya vizuri A'level na hataki kozi yoyote zaidi ya hyo. Please ur advise.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Jamani naomba mnisaidie hii course ina husiana na nini na je mtu wa HGE anaweza soma?? Ipo UDOM
0 Reactions
33 Replies
9K Views
Wale wa MU BAF tutambuane hapa nakujuzana mambo ya hapa na pale kuhusu MU
0 Reactions
1 Replies
646 Views
Njoo buchosa sengerema nije geita Idara msingi namba za cm 0754530062
0 Reactions
0 Replies
738 Views
0 Reactions
5 Replies
3K Views
medical laboratory technology, health laboratory technology na medical laboratory science(in service) je kuna utofauti upi au ni lugha moja tu wadau?
0 Reactions
2 Replies
683 Views
Nianze kwa kukupongeza mdogo wangu uliyepata chuo bora kuliko vyote Tanzania. Naamini ni juhudi zako pamoja na Neema za Mungu upo hapo. mlimani chuo kizuri sana LAKINI umakini mkubwa sana...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Wanajamvi Kuna ndugu yangu kachaguliwa Bachelor degree in accountancy ya pale CBE, sasa dogo ana wasi wasi labda chuo sio kizuri kwa upande wa bachelor's, vipi wanajamvi hiki chuo kiko vizuri...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
fungua hii link chini hapa kuona majina, http://www.suanet.ac.tz/phocadownload/loan_1styr2016_2017.pdf
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi ni kweli UDSM majina yametoka ya kusaini boom? naomba msaada kwa walioko chuoni.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
anaesomea B.Comm in A/c UD naomba kutambua uwepo wako, mpaka leo sijatia maguu kwenye lectures naomba mwongozo/updates asee! Asante.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu kwa wale ambao tumechaguliwa kwa fani ambzo zipo chini ya COICT UDSM, shule imeshaanza na ratiba ya vipindi inapatikana shuleni kijitonyama usiifuatae ratiba ambayo inauzwa stationery...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nipo idara ya elimu sekondari Musoma(M) natafuta mwalimu wa kubadilishana kituo kutoka eneo lolote la morogoro,Dodoma,iringa au mkoa wa pwani!tuwasiliane 0625792678
1 Reactions
0 Replies
734 Views
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Mafunzo ya Ufund, Stella Manyanya. SERIKALI imetoa Sh bilioni 80 kwa ajili ya malipo ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu wanaoanza na wanaoendelea na masomo...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Nahitaji First Year waliochaguliwa IFM kuna vitu tufahamishane hapa
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Salaam kwenu ndugu! Wanafunzi wengi mwaka huu wamepitia katika misukosuko, shida na taabu nyingi hii kutokana na mabadiliko yaliyokuwa yakifanywa kila kukicha kwenye Elimu, TCU kubadili kwa...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wandugu habari, Kwa walioko huko dar, Eti jamani majina ya NIT tayari? nmesikia kwmba majina yapo ubaoni chuoni. Namaanisha majina ya waombaji wa bachelor degree, naomba yeyote aliyepo chuoni...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Wanajamvi napenda kuliezea hili kwa masikitiko makubwa kuhusiana na BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU (HESLB) jinsi gani inavyopingana na sera ya Rais wetu kipenzi ya Hapa kazi tuuuu. Haya ni maneno...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari zenu wana JF Bachelor of prosthetics and orthotics. Hii ikoje asanteni sana wakuu
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Back
Top Bottom