Wakuu samahan naomba kuuliza kuna mwanafunzi mwenye diploma aliyechaguliwa kujiunga degree amepata mkopo? kama upo naomba kufahamu umemaliza diploma mwaka gan? maana mim nimemaliza diploma 2013 na...
Salaam
Naitaji Msaada Kwa Yeyote Mwenye Kukijua Chuo Hiki.
Kuna Jamaa Amenishauri Nikapige Pale Na Mimi Na Mpango Wa Kusoma Md Nina Ufaulu Wa Div Three Ya Point Kumi Na Tatu Pcb.
Kwa Anaye Jua...
Ni wakati wa wazazi wetu kufundishwa adabu na kusomeshwa no
Tukiwaambia kwa maneno ubaya wa CCM huwa hawaelew hivyo sasa utawala huu umeamua kuwaonesha kwa vitendo
Wamepata 21 kati ya 88 maana...
Kwa wale wanafunzi wanaotarajia kujiunga na elimu ya juu..( chuo kikuu ) tunapenda kuwaletea offer kabambe ya Laptop computers zenye uwezo wa hali ya juu kama ikivyojieleza kwenye tangazo hapo...
Ndugu kuna uwezekano wa mwanafunzi 4m 4 failure.. Mwenye Div 4 ya 26... Yaan C moja ya math... Mwenye first class diploma... Na first class degree... Courze Accouting... Chuo Mzumbe... Kupata...
Maoni Yangu Ya Wazi
Ndugu Watanzania, binafsi katika mambo ya msingi ambayo ningependa kuona nchi ikiyapa kipaumbele ni Elimu. Mimi ni mwanafunzi bado na mnufahaika wa Bodi ya Mikopo. Lakini...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
AWAMU YA PILI YA WANAFUNZI WALIOPANGIWA MIKOPO KWA 2015/2016
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inapenda kuwafahamisha waombaji wa mikopo kwa...
Maisha yatakuaje vyuoni hasa mwaka wa Kwanzaa MAANA wanafunzi wengi tunatoka familia za wenye uwezo wa chini
Wazazi wetu walitegemea tumefaulu vizuri na lazima tupate MKOPO kumbe mh daaaaa
Wengi...
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Sydney, Australia
Katika kutathmini viwango vya elimu duniani, wengi wamekuwa wakiangazia sana ubora wa vyuo. Lakini kwa jumla, ni mataifa gani yenye wanafunzi walio...
Usiambiwe tu ukapenda nakuitikia ndio hapohapo. Fikili kwanza kwanini umeambiwa na ndipo utoe jibu la kukubali au kutolidhiana na jambo hilo. Rais wangu wewe ni mchapakazi sana na huruka hii ya...
Tovuti ya chuo cha Usimamizi wa Fedha imekuwa hacked na Anon plus.
Wanafunzi hawawezi kuona chochote wala kufanya chochote sio matokeo wala kufanya registration.
Kwanza natanguliza pole kwa vijana wa Kitanzania ambao mmekosa mkopo. Mtu akijivika nafsi zenu atagundua ni namna gani mmeumizwa na ukosefu wa mkopo kwa ajili ya elimu ya Chuo kikuu.
Moja ya...
TAARIFA KWA UMMA
Wizara ya Mikopo chuo kikuu Dar es salaam inapenda kutoa mrejesho kama tulivyoahidi kurudisha mrejesho kwenu baada ya kuwafikia ama kuwasiliana na mamlaka za juu zaidi yaani...
Gharama za kuomba Mkopo;
Application 30,000
Internet 2000
Passport 5000
Mahakamani 20,000
Ofisi ya Kijiji 10,000
Printing 5000
Bodaboda 2000
Ems 13100
Jumla 87,100
Mkopo 77,100
Apo ndipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.