Nimeona orodha inayodaiwa kuwa ya majina ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza wanaonufaika na mkopo kwa mwaka wa masomo 2016/17. Orodha hiyo ina majina 3,966 tu. Ikiwa orodha hii ni ya kweli, na ikiwa...
Taifa linahitaji wataalamu wa aina zote, vijijini, mashuleni, mahospitalini na viwandani wanahitaji pia wahasibu, wagavi, watunza kumbukumbu na vifaa, kusanya ushuru, wanasheria, maafisa masoko...
Kumekuwa na ongezeko la wanafunzi katika ngazi mbalimbali za vyuo,lakini tatizo ni kuhusu mfumo wa vyoo vya kukaa hususani tunapotumia choo kimoja kwa watu takribani 10.Hapa kila mtu anaustaraabu...
1)Means test
an official investigation into someone's financial circumstances to determine wether They eligible For a welfare payment or other public funds
2)Priority
A thing that is regarded as...
Wanabodi, natumaini muwazima.
Naomba mnisaidie hili
Vigezo vinavyotumika kwa mtu mwenye diploma kusoma degree ni awe na GPA ya 3 na kuendelea lkn pia awe na D nne au zaidi ktk mtihani Wa kidato...
wakuu kwema?
Hii course inayotolewa na Dar es salaam Maritime Institute nahitaji sana kuijua kwa kina, Ina nini cha maana sana katika sea operations?
Nahitaji notes zake iwe kwa soft or hard...
Katika gazeti la Mzalendo la leo limeandika kuhusu baadhi ya vyuo nchini kutoa vyeti feki. Kutokana na kashfa ya kujiuza kwa wanafunzi wa vyuo vikuu huenda kujiuza huko kukaanzia kwa wakufunzi ili...
Unapata chuo, chuo chenyewe ni cha private na ada yake nu zaidi ya million 5, hujapata mkopo na kozi yenyewe ni udaktari. Dah, inauma sana unajua!
Mtu unaacha kozi ya maana inaenda unaiangalia...
Daaaaa pindi nipo school advance nilijituma kusoma ili nipate chuo cha government na chenye haz but TCU shikamooo mmekata NDOTOOOO za wadau amna namna
Haya nao Bodi ya mikopo nao wanataka...
Kwa wale wa university of dsm especially first year waliochaguliwa kujiunga CONAS katika department ya GEOLOGY.
HAPA MKUTANE MPATE KUPEANA UPDATES ZA MWANZO MWANZO.
Mnaoendelea na mwka wa pili na...
Bod ya mikopo wanatakiwa watoe majina mapema kwa wanafunzi wanaoendelea kwenye vigezo na waliopata mkopo kwan wapi vyuoni tayar.nn kukalishana mpana first year wote wapangiwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.