Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Gharama za kuomba Mkopo; Application 30,000 Internet 2000 Passport 5000 Mahakamani 20,000 Ofisi ya Kijiji 10,000 Printing 5000 Bodaboda 2000 Ems 13100 Jumla 87,100 Mkopo 77,100 Apo ndipo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
MAAJABU KUHUSU MIKOPO YA WANAFUNZI VYUO VIKUU MWAKA2016 .(CONFUSION ABOUT LOAN ALLOCATION TO HIGHER EDUCATION STUDENTS) 1. Wanafunzi wa mchepuo mmoja, wanaosoma masomo sawa, assignment zao zote ni...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni mpaka pale Bodi ya mikopo ya elimu ya juu itakapothibitisha kama itaendelea kuwalipia ada wadahiliwa , Hii ni kwa wale wa mwaka wa pili na kuendelea . Mkurugenzi Mtendaji wa bodi hiyo Abdul -...
11 Reactions
156 Replies
18K Views
The OECD's top 10 highest performing graduates Japan Finland Netherlands Australia Norway Belgium New Zealand England United States Czech Republic Higher education has a strong sense of...
0 Reactions
0 Replies
600 Views
JUMUIYA YA WANAFUNZI WA TAASISI ZA ELIMU YA JUU TANZANIA (TAHLISO) TAARIFA KWA WANAFUNZI WA TAASISI ZA ELIMU YA JUU YAH...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Je nacte wanaweza kutoa option kwa wanaotaka ku transfer tena ??? Na kama watatoa tujuzane[emoji310]
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu, nmewahi kupita hapo mwaka mmoja uliopita, nina shida na jambo fulani hivi, naomba kama kuna wanachuo wa mwaka wa kwanza walioanza masomo ama wa mwaka wa pili wanaoendelea tuwasiliane nao...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa mwenye kufahamu mpwapwa school of nursing anielekeze jinsi ya kufika
0 Reactions
3 Replies
4K Views
kuna yeyote alieomba chuo kikuu akiwa na cut off ya point 3 kwa masomo mawili kushuka chini nikimaanisha yani kapata may be DEE au chini ya hapo tcu ikampangia?
0 Reactions
1 Replies
843 Views
habari za mda huu wadau nataka kufanya mitihani ya Chartered Institute Procurement and supply UK level 3 (diploma) ningependa kujua upatikanaji wa materials na ghalama anayejua please....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ivi kuna chuo chochote kina chukuwa wanafunzi wenye D E S form 6 , waende kusoma Degree.
0 Reactions
1 Replies
891 Views
Baada ya loan breakdown kutoka nimeona wanafunzi wote wanaosoma Bsc I. aquaculture hawajapangiwa pesa za field and practical training. Ina maana hii kozi huwa hawaendi field au? Hivi kweli...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Bodi ya Mikopo inabidi iendane na utandawazi na uwazi pia. Inabidi wadaiwa wayafaham madeni yao kwa urahisi. Ushauri wangu ni kwamba kama ilivyo kwa TRA, waandae mfumo wa message ambao utakuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwel tulikutegemea sana katika hili suala la utoaji wa mikopo baada ya Rais kukuteua tulifurahi kwamba sasa neema imeonekana lakini cha kushangaza mama yetu leo hii bodi na naibu wazir anatangaza...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Ivi kuna board yoyote inayotoa mkopo kwa wanachuo wanaosomea diploma kwa mwaka wa masomo 2016/2017
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanajamii forum naandika Uzi huku nikiwa na mawazo mengi kuhusu nini hasa hatima yetu sisi tuliomaliza kidato cha sita mwaka huu na tukiwa hatuna uhakika wa kuendelea na masomo kutoka na hali...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
wakuu za jion kwa jina naitwa noel . nilichaguliwa kujiunga na chuo kikuu kinacho itwa Cavendish univasity Uganda . na pia mm ni mwajiliwa selikalin so niliomba luhusa ya kusoma nikakataliwa .sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naendelea kuwakumbusha nchi ya viwanda hii..MIKOPO ipo wanafunzi wenzangu tuliokuwa hatujatarajia kuingia Street University Bonya hapa
0 Reactions
1 Replies
716 Views
Habari wana JF, Kutokana na kazi kuwa ngumu kupatikana hata watu wa masterz wameamua kuficha magamba yao wakati wanaomba kazi. Wanakuwa na masterz lakini wanaomba kazi za ordinary degree na...
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Jamani katika vyuo vya hapa Tz ni kipi kinatoa kozi za urubani,nina mdogo wangu amefanya vizuri A'level na hataki kozi yoyote zaidi ya hyo. Please ur advise.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom