WALIO CHAGULIWA IFM BACHELOR DEGREE

WALIO CHAGULIWA IFM BACHELOR DEGREE

Course zote za IFM hazina ajira kwa Tanzania hii ya leo ...nawashauri watoto wa masikini mkienda IFM kazeni msuli mpate GPA kubwa ili angalau kwenye kutafuta kazi au kujiajiri muwe na advantage
 
Una mawazo tegemezi mnooo mr
 
Hahah...sio kweli, Mimi nilisoma pale na huwez amin kila nikiende office nyingine ajili ya kazi maana mambo yetu tunafanya shughuli na ma kampuni tofauti tofauti kwenye office 10 office 6 lazima upate mtu au watu waliosoma IFM either Account ama BBA ama Insurance au IT, kwa hapa mjin watu wa IFM wameajiliwa kwa wingi trust me
 
mkuu kuna mdogo wangu amechaguliwa basic technician in insurance and rist management ifm je vipi kuhusu soko la ajira?anafanya kazi gani? pili anaweza endelea na diploma gani nzuri baada ya kumaliza cheti?hata diploma ya ict au it au computer anaweza soma?
 
Kwanza nmpe hogera kwa kuwa na wazo la kipekee kufanya course ya tofauti maana sasahiv vijana wengi wanasoma kwa kuiga mkumbo utasikia wengi wanasoma IT,Business Admn,Marketing,Account,Procurement na Mengine matokeo yake wanapomaliza wanajikuta mtaani wamejaa kibao wanaanza kulalamika hakuna ajira.Insurance ni mojawapo ya fani ambazo zinawataalamu wachache na bado wanahitajika maana sehemu nyingi wanapofanya maswala ya insurance ukiwauliza kama wamesomea ni wachache watakujibu Ndio, Advantage mojawapo ya mtu aliesomea Insurance ni yupo huru na anakubalika kufanya biashara za Bima(Insurance) either kwa kuajiliwa ama kujiajili yaani kuwa Agent,sales point ama Broker,kwa Sheria za nchi yetu hauruhusiwi kufanya biashara ya Bima kama hujasomea ama huna Qualification ya Certificate inaitwa COP, Dogo akimaliza kusoma anaweza kwenda kwenye Kampuni lolote la Bima, mfano Zanzibar Insurance,Bumaco Insurance,Sanlam Insurance,Jubilee Insurance,UAP na makambuni mengine mengi huko anapata ajira kwa haraka maana watu wenye taaluma ya Insurance ni wachache Tanzania, Pili kuna watu wengi wamefungua office za uwakala wa Bima ila wamekosa vijana wa kufanya nao kazi kwa kukosa kigezo kile cha kuwa umesomea japokuwa Bima ukielekezwa kwa mda mchache unaweza kufanya ila sheria inataka uwe umesomea ni kama taaluma ya u daktari ama manesi.

Akifanya shughuli za Bima anaweza kuwa Underwriter,Accusor,Marketing,Ama Claim Officer, hizo ni baadhi ya vitengo vya wataalamu wa Bima.
Akikomaa anaweza kupata Access ya kufungua Agency ya Insurance na akawa anaioparate mwenyewe badae akawa Broker.

Baada ya hapo akisema kuendelea na masomo ya juu kwa kusomea fani nyingine inawezekana akasoma ila itategemea na muongozo wa vyuo kwa kipindi hicho maana kila programme huwa inatoa muongozo wake kwa mtu anaetaka kusomea fani hiyo, mfano haiwezekani mtu aliesomea IT diploma bade aombe Bachelor ya Pharmacy au Banking and Finance. Ila itawezekani kwa fani zinazoendana na IT kama programme za Computing kama Comp Science na nyingine.

Lakini Programme ya Insurance ni nzuri hasa katika kipindi hiki ambapo bado kuna watalmu wachache wa maswala ya Bima na vijana wengi wanahitajika wenye taaluma hii.
 
NASHUKURU SANA MKUU KWA MAELEZO YAKO MAZURI MUNGU AWE NAWE MTAALAM
 
Course zote za IFM hazina ajira kwa Tanzania hii ya leo ...nawashauri watoto wa masikini mkienda IFM kazeni msuli mpate GPA kubwa ili angalau kwenye kutafuta kazi au kujiajiri muwe na advantage
Jamaa kila uzi upo na mawazo yako kama haya tu dah..
Udsm, udom na ifm kote umetoa Maneno kama haya duu
Au unafowad pia
 
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja aje atujibu kwa kweli
 
Back
Top Bottom