Lady Janet
Senior Member
- Oct 9, 2016
- 167
- 161
Jamani katika vyuo vya hapa Tz ni kipi kinatoa kozi za urubani,nina mdogo wangu amefanya vizuri A'level na hataki kozi yoyote zaidi ya hyo.
Please ur advise.
Please ur advise.
Also MeJamani katika vyuo vya hapa Tz ni kipi kinatoa kozi za urubani,nina mdogo wangu amefanya vizuri A'level na hataki kozi yoyote zaidi ya hyo.
Please ur advise.
OkNenda pale uwanja wa ndege terminal 1 wanako paki ndege kuna chuo ila Ada imechangamka .
Ukishindwa ni pm nitakutumia jina na namba zao za simu nitacheki kwenye kumbukumbu zangu