Kwanini mkuu unapaswa kufafanuaMdogo wako au wewe???
Ni chuo cha ovyo...
kiko poa sana kwa hiyo koziKwanini mkuu unapaswa kufafanua
Na ww ulisoma pale nini?kiko poa sana kwa hiyo kozi
Yani ni kama tuition hiyo sio chuo...Kwanini mkuu unapaswa kufafanua
Si ndio maana huwa unaandikiwa tuition fees, vyuo vyote ni tuition sawaYani ni kama tuition hiyo sio chuo...
Unajua maana ya tuition fees???Si ndio maana huwa unaandikiwa tuition fees, vyuo vyote ni tuition sawa