Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

STUDENTS SELECTED BY TCU TO JOIN ATC DEGREE PROGRAMMES STUDENTS SELECTED BY TCU TO JOIN NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT(NIT) ALL BATCHES STUDENTS SELECTED BY TCU TO JOIN ST. JOHNS DEGREE...
0 Reactions
25 Replies
12K Views
Kwenye profile yangu mwanzoni walikuwa wameandika: The candidate did not secure a loan in the first batch. Sasa hivi wameandika "You have completed 0 of five stsges", Batch No: 0 Loan break down...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Jaman kwa waliobahatika kuchaguliwa saint john university course ya phamarcy au yeyote yule mwenye ujuz na hii course tujumuike pamoja katika hii thread ili kujua changamoto zake na hata...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Samahani Sana wanajamii ,nilikua Nina uhitaji wa Mitihani iliyopita (PastPapers) ,za shule yoyote au Necta ya somo la Kompyuta Kwa shule za sekondari (Olevel) Form 1 - 4 Mwenye Nazo naomba msaada...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wanajamii habarini za kazi? Wakuu naombeni mnisaidie kuhusu mada tajwa hapo juu. Kwasasa nipo Singida na hamna madarasa ya kusoma CPA. Mpango wangu ni kufanya registration mwaka ujao January na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kama tujuavyo, safari ya kuelekea vyuoni kwa wanafunzi imeiva na wengine wameshaingia, wengine wanajiandaa lakini pia wapo ambao hadi sasa hivi bado ramani haijakaa vizuri. Wengi...
0 Reactions
68 Replies
10K Views
Ngoma ipo kabisa nawakumbushia wadogo zetu wanaoripoti vyuo mbalimbali kwa level mbalimbali za elimu. Msibweteke tumieni muda mwingi kujifunza vinginevyo UKIMWI hautawaacha. Wale masharo na ma...
27 Reactions
87 Replies
9K Views
WIZARA ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi inatarajia kuvifanyia uhakiki wa ubora ubora vyuo vyote, vinavyotoa shahada nchini vya umma na vya binafsi kuanzia kesho. Kwa mujibu wa...
1 Reactions
61 Replies
18K Views
jamani nmesikia kuwa bodi ya mikopo imeachia second lot je ni kweli kwasababu nmejaribu kuaccess website yao cjaona kitu kama hicho
1 Reactions
0 Replies
437 Views
*Muda Huo Ni Mwaka 2018 Ajira Zimetoka Nimeshapangiwa Shule Nimeanza Ualimu Wangu Fresh Tu* *Natokea Home Kwangu Muda Natembea Kuelekea Shule Na Kibegi Changu Mgongoni Ndani Kuna Mastering Na...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukiingia Olams ukaclick ile loan breakdown Unaweza jaribu hata wewe ukalithibitisha swali langu Ukishajaza vile vibox vyote bila ya kubonya mwishoni "Go" katika keyboard yako itaonyesha kuwa "YOU...
0 Reactions
2 Replies
916 Views
Wa jf naomba kujua, lini masomo yanaanza kwa mwaka wa kwanza 2016/17 chuo cha SAUT?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu, imekuwa ikiwakopesha wanafunzi wenye sifa za kujiunga na vyuo vya elimu ya juu nchini kugharimia masomo yao. Katika utekelezaji wa...
3 Reactions
254 Replies
51K Views
Nimefanya transfer ya Chuo cha afya kupitia NACTE lakini kila nikijaribu kusearch result kupitia index no yangu inaandika not found had nitumie username yangu na password
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa anaejua process za kufuata ili kusititisha masomo ya chuo kwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza naomba msaada kidogo. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Ingia hapa https://drive.google.com/drive/u/0/mobile/folders/0B9Vd59-UZpsjaFJHdkFXMFBIeWs?usp=sharing Asante Mzumbe, TCU Nawasubiri HESLB
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Uongozi wa nchi wapeni nafas VIJANA wetu wasome acheni siasa kwenye elimu eti Mara GPA 3. 5 Mara 3. 9, mnakera Sana je walio na 2. 7-9 mnamikakati gani nao au ndo kutuandalia waharifu siku za...
0 Reactions
1 Replies
822 Views
Habari wakuu, Kutokana na vyuo vingi kutoa majina ya wanafunzi waliobahatika kuchaguliwa kwenye vyuo husika, wengi wamekuwa wakipenda kujua kama chuo alichoomba kimetoa majina ama La, pia kujua...
1 Reactions
339 Replies
78K Views
Back
Top Bottom