Nimeamua kujitrain masters degree ofisini kwangu

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
8,351
Reaction score
8,087
Habari wana JF,
Kutokana na kazi kuwa ngumu kupatikana hata watu wa masterz wameamua kuficha magamba yao wakati wanaomba kazi. Wanakuwa na masterz lakini wanaomba kazi za ordinary degree na tunajikuta tulio na degree za kawaida wanatufunika.
Kwa kulitambua hili, na kwa kuwa katika kazi yangu ya sasa nabanwa sana na siwezi kwenda shule, nimeamua kutafuta mtaala wa masterz na kujifundisha mwenyewe katika desktop yangu ili niende nao sawa.

Sasa nilikuwa naulizia ni mtaala wa chuo gani naweza kuutumia kwa urahisi katika kujitraini ili nijipe hiyo masters, na baadae kujitengenezea cheti na kujifanyia graduation.
 
Tafuta mtaala wa Eackernforde Tanga University utakufaa.
 
let me be ua supervisor,,,,kuanzia kwenye risechi
 
Open Yunivasite ofu Tanzania
 
Mi wananibania kwenda kusoma wakati nina vigezo vyote cjui wanahofia nini wakati mi Masters nasoma ili nipandishe kiwango cha mshahara na sio kwa nia ya kutaka vyeo vyao kwenye barua nimeandika kabisa nkimaliza ntarudi kushika chalk sitaki vyeo vyao
 
ulishaonyesha nia ya kwenda makao makuu wewe WIZARANI/HALMASHAURI, utani tu mvumilivu hula mbivu na maamuzi uliyochukua ni ya busara pia
 
Mi wananibania kwenda kusoma wakati nina vigezo vyote cjui wanahofia nini wakati mi Masters nasoma ili nipandishe kiwango cha mshahara na sio kwa nia ya kutaka vyeo vyao kwenye barua nimeandika kabisa nkimaliza ntarudi kushika chalk sitaki vyeo vyao

Ha ha ha je uko kwenye "mpango" wa kwenda masomoni? Watanganyika bwana kwa kuwekeana vizingiti hatujambo!
 
Habari wana JF,
Kutokana na kazi kuwa ngumu kupatikana hata watu wa masterz wameamua kuficha magamba yao wakati wanaomba kazi. Wanakuwa na masterz lakini wanaomba kazi za ordinary degree na tunajikuta tulio na degree za kawaida wanatufunika.
Kwa kulitambua hili, na kwa kuwa katika kazi yangu ya sasa nabanwa sana na siwezi kwenda shule, nimeamua kutafuta mtaala wa masterz na kujifundisha mwenyewe katika desktop yangu ili niende nao sawa.

Sasa nilikuwa naulizia ni mtaala wa chuo gani naweza kuutumia kwa urahisi katika kujitraini ili nijipe hiyo masters, na baadae kujitengenezea cheti na kujifanyia graduation.

Kama kipato kinakuruhusu jaribu hapa LSBF - Study MBA, ACCA, CIMA, CIM London, UK. Financial Courses London
 
Ha ha ha je uko kwenye "mpango" wa kwenda masomoni? Watanganyika bwana kwa kuwekeana vizingiti hatujambo!

sure,,,some time unafos ili mambo yaende,,,,i did this naenda job 2 deiz,,,3deiz nipo darasan
 
akili ndogo inapotawala akili kubwa ndo matokeo yake haya sasa!

heheheheee,,,vijana wa kileo hawatak subir subir,,,mtu hela yake,anaomba ruhusa akasome unamzingua,,,je ungekua unaidhinisha pesa????na ametimiza vigezo
 
sure,,,some time unafos ili mambo yaende,,,,i did this naenda job 2 deiz,,,3deiz nipo darasan

What for? Unakuta mtu anasooooma afu kwa shida, stress kibao, madeni, poor job output na ukimaliza unaambulia salary increment 5%!

Mi siji soma masters milele labda nifadhiliwe kwenda majuu! Ada zenyewe ziko juu..haya una MBA toka umalize imekusaidia nn?
 
sure,,,some time unafos ili mambo yaende,,,,i did this naenda job 2 deiz,,,3deiz nipo darasan

Jambo jema umelifanya best, ukiwa na boss ambae nae ana kajiwe kamoja,akisikia wataka kupiga ka pili mizenguo hapo ndo huanzia. Lakini pia akigundua unadoji kazi kama ulivyoeleza jiandae kupigwa "SP" Kwa kamshahara kako. Inaudhi kwa jitihada ZOTE HIZO Ukimaliza na kupeleka xheto "Unabadilishiwa muundo" ila mshahara ni ule ule. Mwisho wa siku mastress na wengine kukimbilia siasa.
 
Back
Top Bottom