Msaada anayejua kuhusu mkopo

test man

JF-Expert Member
Aug 13, 2016
1,013
952
Mimi ni Mtumishi wa umma, nina shida na hela kama milioni tano au sita.

Nnaomba anayejua bank zenye makato ya nafuu isizidi laki moja na sabini kwa miaka sita aniambie ukiacha zile zilizozuuliwa kutoa mikopo kwa watumishi.
 
Back
Top Bottom