Natamani kuanzisha NGO ya kuhifadhi na kutunza uoto wa asili

Jan 15, 2017
8
3
Habari wana JF,

Nimekua nikiumia sana na uharibifu unaofanywa na watu kwenye uoto wetu wa asili. Nina wazo la kuanzisha non profit organization itakayo kua ikitoa elimu kwa vijana na jamii kwa ujumla jinsi ya kutunza na kuhifadhi uoto wa asili. Kwa yoyote mwenye kuhitaji kujiunga nami katika kutimiza wazo hili naomba tutafutane na mwenye uzoefu wa maswala ya formation ya NGO's naomba anielekeze.

NB.
Its a NON PROFITABLE ORGANIZATION I don't expect you to charge me.
 
Hii kutafuta watu mitandaoni ni risk sana, hasa nyakati hizi za mtawala mtukufu.

Kuna uwezekano ikawa ni miwani nyeusi inaweka mitego yake.

Anyway, kila la kheri Mkuu kama dhamiri yako ni njema.
 
Habari wana jf
Nimekua nikiumia sana na uharibifu unaofanywa na watu kwenye uoto wetu Wa asili. Nina wazo LA kuanzisha non profit organization itakayo kua ikitoa Elimu kwa vijana na jamii kwa ujumla jinsi ya kutunza na kuhifadhi uoto Wa asili.
Kwa yoyote mwenye kuhitaji kujiunga nami katika kutimiza wazo hili naomba tutaftane na mwenye uzoefu Wa maswala ya formation ya NGO's naomba anielekeze

NB.
Its a NON PROFITABLE ORGANIZATION I don't expect you to charge me.
usitamani anzisha kwa hicho kidogo ulichonacho.
 
kweli nije nitumie pesa zangu,muda wangu na nguvu kwa ajili ya uoto??? WTF!!! bora nikasaidie watoto yatima na wagonjwa nahisi nitabarikiwa zaidi.
 
kweli nije nitumie pesa zangu,muda wangu na nguvu kwa ajili ya uoto??? WTF!!! bora nikasaidie watoto yatima na wagonjwa nahisi nitabarikiwa zaidi.
Anzisha yako ya kusaidia watoto yatima,ila mleta mada ana IQ ya hali ya juu kabisa ameonana kitu ambacho wewe huwezi kukiona kamwe
 
kweli nije nitumie pesa zangu,muda wangu na nguvu kwa ajili ya uoto??? WTF!!! bora nikasaidie watoto yatima na wagonjwa nahisi nitabarikiwa zaidi.
Huo neo uwezo wako Wa kfikiri ulipo fikia hakuna haja ya kutukana au kukejeli wazo LA mwenzio
 
Back
Top Bottom