Ushauri: Nawezaje kuongeza thamani kwenye pumba ya mahindi?

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,492
2,361
Kuna kipindi pumba huwa nyingi mijini na huuzwa kwa bei ya kutupwa, naomba ushauri kwa anayejua nawezaje kuongeza thamani kwenye pumba ya mahindi angalau nikapate chochote.
 
Tengeneze pombe ya kienyeji *KANGALA*
asante kwa mawazo mazuri mkuu, vip hakuna kingine mbali na hicho mkuu maana niko nafanya utafiti ili nije nijikite kwenye kimoja kati ya vingi mtakavyonipa
 
Mwenye kujua wapi ntaweza kupata machine ya kusaga nafaka kwa hapa Dar es salaam.
 
Tengeneza briquettes za pumba. Sikuizi mkaa umepigwa marufuku. Hii itakulipa sana
e4df396918b9bc0c53957c033b62b784.jpg
 
Yah nataka ya kununua made in Tanzania.Ningependa pia kujua gharama zake na kama nafunga duka la kusaga nafaka nini vigezo na masharti yake.
mashine nenda sido watakusaidi kwa maswali yako yote uliyonayo
 
Back
Top Bottom