Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 952
- 1,047
Wadau,
Naomba mwenye mchanganuo ama ujuzi au uzoefu wowote wa kuexport ndizi nje ya nchi. Nataka kuanzia biashara hii niwe nanunua ndizi hapa nchini na kuzisafirisha kuziuza ulaya.
Bei za nje zikoje?
Taratibu za kiserikali
Gharama na njia za kusafirisha?
Asante.