Nawezaje kufungua Vodashop isiyomilikiwa na Vodacom?

wildcaretz

Member
Jan 11, 2017
13
7
Hivi wadau, unaweza kufungua vodashop yako private isiyomilikiwa na kampuni ya Vodacom.

2. Kuna hatua gani za kufuata.
3. Unahitajika uwe na mtaji kiasi gani?
3. Pia unatakiwa uwe na vitu gani?
 
Kwa taarifa, Voda shop zote sio za Voda. Ni mawakala tu! Hadi Huduma kwa Wateja sio za makampuni ya simu, ni watu wameingia nao mkataba, hata vocha pia hazitengenezwi na makampuni ya simu.

Fika kwa wakala mkuu aliye karibu yako, atakupatia taratibu!
 
Sawa mkuu hakuna anayejua humu atujuze kwa faida ya wengi
 
Back
Top Bottom