Viwanda vya maji ya chupa machafu

cosa nostra

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
1,773
1,805
Kwa sasa naona kila mjanja wa mujini anaanzisha kiwanda cha maji,

saizi hapa nimeagiza maji wameniletea maji ya ....(jina kapuni) chupa linanuka uvundo na kwa chini ndani kama kuna chengachenga hivi

swali linakuja hivi viwanda tunavyo kua tunavifungua kila siku kila mkoa kila wilaya
kweli vinamitambo sahihi na bora na vinakidhi vigezo vyooote kwa shughuli hii au wanatunywesha maji ya kisima tu

nawasiwasi sana baada ya kupiga hili fundo la maji sijui hali itakuaje kiafya.

Nawaomba sijui ni TFDA sijui TBS na wahusika wa viwanda hivi fuatilieni kwa ukaribu sana
hivi viwanda vya maji ya chupa
 
Nunua yale special,chupa moja dola 300
Yale yako salama zaidi

3png.png
 
Ukiamua kutetea jamii usiwe muoga we kama hayo maji umeyaona hayafai weka jina watu wasinunue uwe umewaokoa
 
Back
Top Bottom