Naombeni msaada: Nataka nichukue mzigo nje ya Tanzania

rhoda petro

New Member
Jan 9, 2017
2
0
Kama kichwa kinavosema,

Jamani wahangakaji wezangu mimi sio mjasirimali ila nataka niaze biashara ila nataka mzigo wa biashara nichukulie nje ya Tz.

Nikikuwa naomba jinsi gani mnaweza kunisaidia ili nipate kufanikisha suala hili nitangulize shukrani, ahsante.
 
Karibu sana mdau javis international trade tunahusika na unununuzi wa mizigo toka china na kusafirsha mizigo toka china kuja tanzania sasa basi kma uko dsm karibu ofisin kwetu jengo la ushirika gorofa ya 4 tujadili n biashara gani unatka kufanya tukusaidie tuko kihalali na tumesajiliwa piga 0769061198
 
Back
Top Bottom