Msaada kupata leseni ya biashara

PastorA

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
361
275
Ndugu zangu nahitaji kufanya biashara ndogondogo ya tigopesa na vitu vingine
Nawezaje kupata leseni ya biashara na vingine vinavyo takiwa kama Tini number?
Naomba msaada ndugu zangu
 
kwanza kabisa lazima uwe na tin namba
ninayo lakini nishasahau ila maelekezo niliyapata google
 
Back
Top Bottom