Asante mkuu umenipa mwanga ...nashukuru!!Mbona mna mtisha? kufanya kazi eneo lolote u must take risk! Malawi si ngumu kihivyo nimefanya sana biadhara ! kwanza inategemea unataka ufanye biashara gani legal au backyard bizness! Legal tulikuwa tunapeleka vikoi lilongwe vinalipa vizuri, pia ukipeleka redbul inalipa ila kwao ni kosa so unauza kwa siri. Govt ilipiga marufuku redbul. Then kutoka kule kifanikiwa kuvusha viroba vinaitwa Double punch, power,rider, sukari, ulezi kwao cheap ukifika upande wa Tz unapiga bao! Ukienda usivae suti va kawaida saana na ili upate uzoefu safiri na Taqwa ya lilongwe strait utawakuta kina mzee abuu wenyeji mtayajenga