Mfumko wa bei unazidi kuongezeka vitu vinapanda kila siku

Oct 17, 2014
23
3
Mfumuko wa bei za bidhaa unazidi kuongezeka nchini Kigoma unga kilo 25 unauzwa 40000, mchele kilo 1800, maharage 2000 huku debe la mahindi linauzwa 20000 mpaka 21000.
 
Na mkulu keshqsema pandisheni tu bei wakitqka vitu rahisi waje walime wenyewe. haya
 
Back
Top Bottom