Baada ya Waziri wa Ujenzi Prof. Mbarawa kutangaza kuanza Ujenzi wa bandari kavu ktk eneo la Ruvu, Mlandizi, hakika jambo hilo ni hatua kubwa sio tu kupunguza msongamano lakini pia utachochea ukuaji wa uchumi pia ajira zitaongezeka kwa vijana wa maeneo husika.
Pia tungeomba Serikali iharakishe Ujenzi wa njia sita pamoja na ujenzi wa stendi ya mabasi ya mikoani katika eneo la Kibamba/Luguruni, katika ujenzi wa stendi hiyo liangaliwe eneo kubwa litakalo kidhi mahitaji muhimu ambalo halitosababisha msongamano.