Mwenye uzoefu na biashara hii msaada tafadhar

DjpM

Member
Feb 12, 2017
43
11
Nataka niazishe biashara ya kuuza nguo mtumba na vitu vingine mtandaoni, naomben ushauri wenu wadau
 
Yes, nakua napost nguo afu watu wakihitaj wananicheck, au we unaonaje boss?
mm siku shaur ufanye hiyo biashara coz hutofanikiw maana jiulize kuna wa2 wangap maeneo unayoish wanauza mtumba, mimi leo hii siwezi agiza mtumb kutoka kwako wakati mtaa wapili hapo wanauza, inatakiwa uuze vitu ambavyo ni adim kupatikana mitaan
 
Asante kwa ushauri lakin hii inakua si kwa ajil ya mtaani kwetu tu ni kwaajili niseme kama dar nzima na hata nje ya dar cz naposema mtandaoni namaanisha wapo watu wengi wanaotumia ndani ya dar na nje ya dar pia, hata hvyo kuna wale ambao hawana mda wa hata wa kwenda kununua nguo ikiwa yupo bize na kazi ama nn, na huwa wanafanya shoppng zao mtandaon tu, akipenda kitu anaagiza tunampelekea either ofisin kwake o watever! Au haipo poa mkuu?
 
Ok ni wewe 2
 
Back
Top Bottom