Ipi tofauti kati ya shirika na kampuni?

McCain

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
1,169
517
Wakuu,

Naomba kujuzwa tofauti kati ya shirika na kampuni.

Ahsante
 
Vipi kuhusu shirika la kidini
Lile chunguza hua linakuwa chini ya kanisa fulani au ni mjumuiko wa makanisa tofauti linaanzishwa ka madhumini au kutoa masaada wa vitu mbalimbali lakini hua linakuwa chini ya makanisa kama wadhamini fulani
 
Sasa unaposema shirika ni la uma na kampuni ni ya mtu mmoja wakati mwenzetu amesema ttcl ni ya uma na Vodacom ni private owned
 
Sasa unaposema shirika ni la uma na kampuni ni ya mtu mmoja wakati mwenzetu amesema ttcl ni ya uma na Vodacom ni private owned
Sasa hapo umeongea nini,,mkuu subiri wengine waje huo ni uelewa wangu kama hujaridhika sijakuaminisha
 
Kuna.hivi pia
CBE hii college
IMF hii institute
UDSM university

Pia ndan ya UDSM
Kuna college na school

Huwa sielewi tofaut ya college,institute na school

Maana zote hutoa bachelor??
Mnaweza kunipa tofaut ya hz pia??
 
Back
Top Bottom