FAKE NEWS
Member
- Feb 16, 2017
- 59
- 160
Nilianzisha thread kuzungumzia hizi online media zilizochipukia siku za karibuni naona ilifutwa bila sababu yoyote ile.
Anyway nilichokuwa nauliza je kuna nafasi au fursa kwa zingine kuja kwenye soko? Mahitaji ni yepi?
Naona serikali imesema akina Michiuzi, mwananchi digital na akina Millard Ayo lazima wasajiliwe na TCRA.